Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah, haturudii tena wapenzi wetu mtusamehe tuwe kama mwanzoUnaweza jisumbua na simu yake kumbe walaa. Hivi ujue yale maudhi yenu madogo madogo na makubwa kama ya kucheat huwa mnafikiri tunasamehe eeh? Sasa hayo ndio huwa matokeo yake, unakuta mtu ulimpenda ila ndio akakuletea upuuzi upendo ukaanza kupungua mwisho unaishi nae basi tu ilimradi ulee watoto.