Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Kuna rafiki yangu na yeye aliwahi kuniambia kisa Kama chako .Mke wake toka wameoana hajawahi kucheka wakiwa pamoja lakini akiwa na msaidizi wa kazi cheko Kama shangingi kaona bia za uvuguvugu.Yeye akaenda mbali zaidi mume akirudi ye anaingia chumbani ,mume akiingia chumbani ye anaenda sebuleni.Kufupisha stori hakuna ndoa Sasa hivi washaachana.Hakupendi huyo.
Duh ukweli mchungu😅
 
Yaani iko hivi

Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu

Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho
Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh

Sasa wakuu hiki ni nini????
Imekaaje hii
Una uhakika ni mke lakini? Asije akawa ni girlfriend.
 
Yaani iko hivi

Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu

Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho
Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh

Sasa wakuu hiki ni nini????
Imekaaje hii
Sasa hivi kuwa wewe wa kwanza kukasirika, usimchekee mwezi mzima ishi nae kama kambi ya jeshi...
 
Yani mkuu Extrovert accha kabisa, minawake ya kibongo unaowa alakini ukubali umeolewa, ila wachache sana wanaojitambua.
Wa hivyo wanatakaga atoe gundu tu ila kimsingi anakuwa hayupo tayari na ndoa😅😅😅!!! Kuna mmoja jana aliniambia kamwe nisije nikamlaghai na vitu mwanamke ili nimdrag into marriage ile sijui unampa hela na kumuonesha vitu vyako mwanamke ili akukubali! It never works well in the future time! Mara nyingi wanakuwa hawana true love ila wana fake tu waolewe kuheshimishwa!

Wachache sana kwa kweli wanajitambua ndani ya ndoa. Mwanamke akianza pigo kama za mtoa mada ni kwamba hakufurahii kama mume ila afanyaje sasa na ushamuoa!
 
Hatari mkuu na yeye aliambiwa akadai ni mambo ya wanawake tu atakaa sawa .Mara akawa hata kusafiri anadai kila mtu apande usafiri anaoujua mwisho wa jamaa yangu umekuwa mbaya sana aisee.Mambo yanaanzaga hivyo hivyo taratibu taribu.
Yani mambo ya kawaida kutengwa na mkeo bila sababu! Haaa jamaa alijipa false hopes ila hilo tu la mke kunitamkia kila mtu apande usafiri wake ningefukuza hio nyoka!
 
Sidhani kama tatizo lipo kwake tu!! Hata wewe kwako pana shida mkuu, ni eidha na wewe ni mtu wa kununa nuna na unataka mkeo ndo awe anakuongelesha ama lah mmeoana watu wenye hulka moja (wakimya).

Mkiwa ivo aisee msitegemee mmoja kati yenu kua kituko kwa mwenzake labda mzoeane sana, ama mkae kwa muda kwenye uchumba ili kujuana ili mkibebana bila kujuana vizuri hulka zenu, mtanuniana tu.
 
Umekuwa ukimchosha (boring) mkeo mara kwa mara.
Huenda amekuwa akitilia shaka nyendo zako na mengine hata kwa ushahidi wa kimazingira lakini ukajidai kukanusha sasa ameamua kukuchunia.

Huenda alikuamini awali badae akagundua sivyo ulivyo.

Kama aliwahi kuta sms za michepuko basi usizani yaliisha na kusamehe na yaweza kuwa sababu.
 
Hyo ndo tafsir halis ya hawa ndugu zetu..unafki wa kiwango cha juu

Huwa simuelew demu wangu inapotokea tuko wote halaf akutane na rafik yake ..yaan jinsi watakavyoanza sifiana hapo..mara hee una glow tu..unapendeza jaman..sasa ngoja huyo rafik yake aondoke..utaskia...mhhh..huyu nae ndo kunenepaje hvyo...au aisee mbona mtoto wa kike yuko rafu hiv skuhiz..huwa namwangalia nacheka..utamskia..

"Niiiin"..

Mi nabak kusema..hapana mkuu sio kitu..well mi na dem wangu tunaitana "mkuu"
 
Ahahahahah manzi ni snitch laaana😂😂😂
 
Back
Top Bottom