Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Jibu ushapata(wadau wameshasema) ni kuwa hakupendi ni vile tu kwa heshima hataki wengine watambue kuwa hakupendi. Hiyo ndoa aisee itakuwa ngumu sana.
 
Kuna mshkaji mmoja aliwai kusema "wanawake ni nusu akili" huu msemo sijauchukulia kiviile.
 
Kuna rafiki yangu na yeye aliwahi kuniambia kisa Kama chako .Mke wake toka wameoana hajawahi kucheka wakiwa pamoja lakini akiwa na msaidizi wa kazi cheko Kama shangingi kaona bia za uvuguvugu.Yeye akaenda mbali zaidi mume akirudi ye anaingia chumbani ,mume akiingia chumbani ye anaenda sebuleni.Kufupisha stori hakuna ndoa Sasa hivi washaachana.Hakupendi huyo.
 
Back
Top Bottom