zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Siku wakija tena muulize hilo suala mbele ya washkaji......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeivaKihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.
Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.
Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Sasa mtu kwenye Mambo anatoa ushirikiano hadi mwisho ila tatizo unaona liko palepaleNamsifu ana busara angekutana na siye kina mwajuma mnuno unaanzia ndani mpaka nje
watu wanabaki kufinyana
bro solve issues na mkeo inawezekana kuna mambo hayapo sawa or haumpi vizuri
Hahahaha, hata Mbappe alisifiwa ila juzi ndio tumeona rangi yake halisiMkuu umeiva
Labda maana kwa hali hii hapanabaadhi ya wanawake ni wahanga wa hali hiyo hasa kama migogoro ya ndani haipati ufumbuzi, kiasili mwanaume hupotezea mambo bt ke hutunza ndo maana unaweza gombana na mkeo akawa anakumbushia hata yalopita miaka 2 nyuma kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume
jitahidi kutatua changamoto za ndani kwa wakati ili kuwe na amani ndani kwako..
Kama mambo unapewa vizuri relax endelea na maisha yakoSasa mtu kwenye Mambo anatoa ushirikiano hadi mwisho ila tatizo unaona liko palepale
Una kibamia au gwaride halimtoshiYaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu
Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho
Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh
Sasa wakuu hiki ni nini????
Imekaaje hii
Kwanini asinune kama anavyonuna ndani na mume wake?Sa unataka anune mbele za wageni jameni???
Aisee!...nilikuwa natafuta comment yako uzi wote huu nifurahi 😄. Huwa unanyoosha, Solution zako zinakuwaga tit- for-tatMtaftie mwanamke mwenzake umurushe roho kidogo
Kumbe na hii ni tiba?Mtaftie mwanamke mwenzake umurushe roho kidogo
Inawezekana wewe huwaga hunaga story za utani utani na mkeo,at least wakija washikaji zako mnataniana na unafurahi naye anafurahi pia.Cheki upya style yako ya maisha hapo home kwako,pia yeye hajawahi kuona tabasamu lako usikute.Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu
Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho
Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh
Sasa wakuu hiki ni nini????
Imekaaje hii
Mkuu ila hizi zinazoitwa SIRI muda "mwingine" ni hatari saana ...kwa ustawi wa ndoa .Kihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.
Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.
Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Zinapaswa kutolewa kwa sababu maalum.Mkuu ila hizi zinazoitwa SIRI muda "mwingine" ni hatari saana ...kwa ustawi wa ndoa .