Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Ndoa ni ngumu jamani. Acheni tu!
Naunga mkono hoja mkuu
IMG_20210609_073659.jpg
 
Kihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.

Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.

Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Utaishia kupata Sukari, BP na Figo kufail kama utajifanya unamfuchia mwanamke Siri huku unaumia
 
Na experience hicho kitu kwa mkewangu watu wengine anaongea nao vzr tu kwa bashasha lkn kwangu anakua na majibu ya mkato.
 
Back
Top Bottom