Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Kihekima siri za ndoa hazipaswi kutolewa nje/kujulikana ovyo ovyo bila sababu maalumu.

Kila mwana ndoa anapaswa kuficha siri za ndoa yake.

Hiki kitendo cha kununiana mkiwa pekee yenu halafu mnachangamkiana mkiwa public ni mojawapo ya mbinu ya kutunza siri za ndoa.
Namsifu ana busara angekutana na siye kina mwajuma mnuno unaanzia ndani mpaka nje
watu wanabaki kufinyana

bro solve issues na mkeo inawezekana kuna mambo hayapo sawa or haumpi vizuri
 
Back
Top Bottom