Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Wapo mkuu
 

Mkuu watetea upande mmoja tuu, na wanawake sometimes yawapasa kuwaliwaza na kuwamfulahisha wanaume, anatoka kazini na matress, majukumu yote ya nyumba amebeba yeye.
 
Go back to your honeymoon and see what happened. Tabia za mke na mme hujengwa kuanzia hapo. Mwanzoni kabisa mwa ndoa haya yakianzishwa na mmojawapo na mwingine akayakubali basi sio rahisi kuyabadilisha.

Kwa nini unakubali, mbadilishe ili mradi wewe unampenda na hii hali haikupendezi. Just think, nani aliyeruhusu hili liendelee wakati wewe ndie unakesha nae, ndg na majilani wanamjua uso na umbile lake la nje, wewe unamjua hadi sehemu zake za siri umeshindwaje kumrekebisha?

Brother huoni kuwa wewe ndie una shida? Otherwise isiwe mkeo hakupendi (it can be) test that please
 
Mkuu ndivyo walivyo hawa viumbe...ukirudi home salimia, kula, oga, lala kesho amka mapema nenda zako kazini.
Umesahau jambo moja kumpa cha asubuhi la sivyo atakupa mwanamke mwenzake.
 
Utashangaa hakupikii tena, hafui nguo zako wala unyumba hakupi au ndio ile anakupa ilimradi. Maana haufurahii uwepo wako. Mnaanza oooh wanawake mkishaolewa mnabadilika kumbe wewe ndio umembadilisha.
Kuna m1 alikua ananipikia spaghet tu...yaan mi nna ham ya ugal maharabe kuku yeye anapika hvo vtu vya ajab...sasa jarib kuongea..atakumbushia maovu yooote...
 
Kuna m1 alikua ananipikia spaghet tu...yaan mi nna ham ya ugal maharabe kuku yeye anapika hvo vtu vya ajab...sasa jarib kuongea..atakumbushia maovu yooote...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humpi hogo vizuri. Mkaze kiuhakika uone huo mnuno utatoka wapi.
 
Shukuru sana Mungu kupata mwanamama wa aina hiyo, huyo ni certified true lover hawa wengine ingekuwa opposite. Yaani wewe ndiyo anakurusha roho muda wote jinsi anavyofahamiana na kila mwanaume.
 

Shida ni wewe! Hauna skills Bwana! Mwanamke ni vi utani utani, etc atachangamka tu!

Mfano: Jmosi anapika Jikoni, na wewe unakaa karibu unamsaidia saidia, akipita pita una mwambia “Mama Hivi mzigo wote huo wako au kuna mtu mwashirikiana”

Atacheka tu, ila Kama hana zigo, una mwambie do; Yani kamwili kadogo vizuri kabisa kakunitosha, utani Kama huo!

Kama bado atakuwa kauzu, mrudishwe kwao atakuja kukuua huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…