Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

Mkataa pema pabaya panamwita! Mrudie mkeo kipenzi ila ujiandae kufa na tai shingoni.
 
Hivu hizi habar za wanawake kuondoka kwa waume zao mbina kama zote zina fanana na wote huwa wanarudi? Za kweli au zinatengenezwa? Yan kwann huwa wanarudi hawabaki huko huko na kuendelea na maisha yao ya furaha na amani??
Wanarudi kwasababu hao wanaume wao wanawapokea tena. Kama huyu ndugu yenu anashangaz sana
 
Mambo y fesibuku unaleta hapa.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sasa shida iko wapi? Si mrudiane kwani mtaishi milele 😹
 
Mkuu unauhakika una utimamu wa akili? Nakuona kama hamnazo hivi
 
Kama ni kweli uliyoandika hapa,basi wewe ni wazi kwamba HUNA AKILI,au AKILI YAKO Haina AKILI
 
Fala kabisa mbwaa weeee.
Nyie ndio mnatakiwa kupigwa risasi
Kabisaaa yan sijawah kuona fala kama huyu toka dunia ianze, huyu jamaa ni bwege kabisa ndio mana katombewa mke wake mpaka wamemzalisha na bado anaona mwanamke anampenda. Ngoja kumwambia "We bwege amka ndotoni ni 2025, saivi anakuja kukuchomeka mwiko wa matakoni huko ndio utaelewa huyo mwanamke shetani , jamaa umerogwa sijui, pumbavu kabisa "
 
Kama alifanya mkiwa mnajitafuta hashindwi kuweka sumu uache mali zote amiliki yeye, tafakari chukua hatua shoga yangu, huyo kishazoea test za dyudyu mbalimbali
 
Nakushauri acha ujinga
 
Zaman nilkuwa siamin kama mtu anaweza kukuacha na siku moja akarudi akataka muendelee na wakat huo ana mtoto wa huko alikoenda

Ila haya sahv nimeyaona kwa macho hadi nashangaa,hv wanawake wa hvyo huwa wanamchukuliaje huyo mwanaume
 
FUNGA NDOA ,ENDELEA NA MAISHA YAKOO ,NA UNATUKOSEA SANAA UNAPOSEMA HUYO MWANAMKE UNAMPENDAA ,AKATI AMEKUDHALILISHA SANAAA ,HUKUWA KWENYE KIKAO CHA WANAUME WEWE ,MWISHO SIMBA AKILA NYAMA YA MTUU ,HATOACHA KULAA ,KWA HIYO HUYO MWANAMKE ATAKUTENDAA TUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…