Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

Nimeandika...... nikafuta
Nikaandika tena..... nikafuta
Andika neno moja tu kua Hana akili, mwanaume ni msimamo ukishakosa msimamo tayari utapoteza uelekeo, wanawake huamua kwa hisia wakidhani wamepatia kumbe hisia huexpire hapo ndio hukumbuka kwenye uafadhali, mwanaume huamua kwa logic na ndio maana mwanaume mwenye thamani haijalishi uchumi wake hua kamwe hawezi kurudi kumbembeleza X , ndio sababu mwanaume ukianza kurudi kumbembeleza X mara nyingi utadharauriwa Sana. Mwanaume timamu anakubali kupoteza hata Yule anayempenda Sana na kuanza upya na kufuta kila kitu hata ikitokea mbele ya safari atajisimamia.
 
Yaani kwa hapa duniani, hayupo mwanamke mwingine anayekupenda kama huyo; mrudie haraka sana tena kwa speed ya mwanga
 
Kusema kweli bado nampenda mke wangu na ndiyo maana nilikua sitaki kudai talaka, nilikua na imani kuwa ipo siku atarudi na kweli karudi.
Nimeishia hapo kusoma nikagundua nasoma ujinga na upumbavu.

Bado haijakukaa vema akili.
 
Wanaume kamili huwa haturudi nyuma tukiamua jambo letu,au huyo mwanamke kashakupiga dawa
 
Kusema kweli bado nampenda mke wangu
Mpuuzi mmoja wewe. Wewe ni mshamba wa wanawake?? Mwanamke unamfumania, anakutukana, na kukufanyia vituko vyote hivyo bado unaleta usengerema wa kusema bado unampenda sana?? Ungekuwa hapa karibu yangu ningekupiga na stuli ya kichwa nyauloss wewe..
 
Kama sio chai bhasi wewe ni ZEZETA. na zezeta hashauriki ungekuwa na akili timamu ningekuambia Huyo mwanamke hakupaswa hata kumtafuta huyo unaeishi nae ila kwa kuwa huna msimamo bhasi rudi shimoni.
 
Nilitaka kuandika kitu hapa ila naona ningepigwa ban ya milele... Mkuu sifa kuu ya mwanaume ni kujifunza kupitia makosa na maumivu sadly wewe huna hiyo sifa kuu
 
She wants to come for a final mission, to finish u for good
Mkataa pema pabaya panamwita! Mrudie mkeo kipenzi ila ujiandae kufa na tai shingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…