Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

Mbona kisa kizima hiki namna ya usimuliaji wake ni kama siyo kisa chako, maana hakigusi nafsi yako?

Yaani umecopy na kupest sehemu, hasa kwenye mitandao.

Vyovyote iwevyo, tukio kama hilo halijawahi kumuacha salama mwanaume anayeachwa na kurudiwa.
 
Upo sahih
 
KAZI MBILI MUHIMU ZA WANAWAKE NI
1. KUKUTULIZA UKIWA UMECHANGANYIKIWA.
2. KUKUCHANGANYA UKIWA UMETULIA.
 
Kukutuliza ukiwawa umechanganyikiwa

Kukuchanya ukiwa umetulia

Ahahaha jaman wanawake
 
Acha roho mbaya mkuu huyo mwanamke amejifunza kutokana na makosa naamini amejifunza Dunia jinsi ilivyo.....
 
Vijana tunasubiri mlejesho wa kauli za kiume sio kujiumauma mdomo nyoosha maelezo Kisha tulipue booomu
 
Yaani Hii ni Chai au story ya kwl....maana mbona mambo yanaeleweka hapo hakuna kurudiana na mtu huyo
 
Vijana tunasubiri mlejesho wa kauli za kiume sio kujiumauma mdomo nyoosha maelezo Kisha tulipue booomu
 
Hivu hizi habar za wanawake kuondoka kwa waume zao mbina kama zote zina fanana na wote huwa wanarudi? Za kweli au zinatengenezwa? Yan kwann huwa wanarudi hawabaki huko huko na kuendelea na maisha yao ya furaha na amani??
Inawezekana huko alipoenda mambo yameenda mrama,hivo akaona arudishw majeshi alipotoka ambapo napo itategemea anaweza akaondoka tenah sababu alipotoka pana unafuu na hivo hivo mzunguko unaendelea mpaka Menopause inapofika wanatulia tuliiiiiiiiiii
 
Wanaume wanaakiri sana.

Kama alikudanganaya akakutoa kwa Mume wako, ukakubali, Anakushusha viwango, Siku akimaliza kukutumia lazima akuache.
 
Kuna mahali umesema ulichanganyikiwa mpaka ukaacha kazi. Lakini kwa mtazamo wangu ni bado umechanganyikiwa hivyo Nenda Milembe.
 
Inawezekana huko alipoenda mambo yameenda mrama,hivo akaona arudishw majeshi alipotoka ambapo napo itategemea anaweza akaondoka tenah sababu alipotoka pana unafuu na hivo hivo mzunguko unaendelea mpaka Menopause inapofika wanatulia tuliiiiiiiiiii
Matatizo yakiwakuta ndiyo wanaona thamn ya walipotoka wanawake wanatupa wakat mgumu
 
Yule ni X wake kama ulivyo wewe.Nyote ni ma x wake, rudiana nae tu.Anawapanga kwa mafungu mwana wane!!
 
Kwa yote uloeleza hapa, Bado unathubutu kusema UMECHANGANYIKIWA...!?

Basi wewe ni sawa na Kiazi Mbatata....!

Nyie ndo mmefanya hii Dunia iwe ni Uwanja wa Fujo.
 
Yaani ungekuwa karibu ningekuzagamua na makofi ya masikio hadi damu zikutoke upate akili punguani mmoja wee.
Usijimalize kuchangia. Hii haiwezi kuwa kweli.
Hakuna watu wajinga wa mfano wa mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…