Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

Wakati nasoma haya matapishi yako nilikuwa nawaza kama kweli wewe ni mwanaume ila bahati nzuri hapo mwishoni kwenye NB pameonesha wewe ni shoga.
 
Wewe uko sawa kweli?? Mbona hili swala hata halihitaj ushauri.
 
Yaani wewe inatakiwa utandikwe bakora za kutosha kenge wewee....wewe ni mvulana Bado hujafikia stage ya kuitwa mwanaume
 
We zombie katafute kazi ya kufanya huu ni upuuzi umeandika
 
Mimi siyo nabii lakini anguko lako lipo kwa mke wako wa zamani. Uimara wako upo kwa mwanamke wako wa sasa, ukitumia akili kufanya maamuzi utapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…