Mke wangu alirudi kwa ex wake siku ya ndoa yangu

Hii kitu imekaa ki chai chai
 
haya ndo madhara ya kuona ile kampeni ya KATAA NDOA ni ya kipumbavu. Anyway, hujachelewa sana, piga chini hiyo kima ujiunge kwenye kampeni, tena wewe utakua ni mwalimu mzuri coz ushahidi unao.
 
Story nzuri ila mwisho ndio umemaloza vibaya. Hatua zipi tena hapo zaidi za kuchukua zaid ya talaka? Yaan kuna any other alternative zaid ya kumpiga kibuti akabinjuke na George vizuri?

Cha msingi kajiliwaze kwanza na Suzan akusaidie kuiandika hiyo talaka.
 
Jamani tufanye vetting ya kutosha kabla ya ndoa tuache uvivu, usimuamini mtu binadamu ana kawaida ya usiri hasa katika yale ambayo anajua ukijua ndoa haitafungwa.
Gharama,muda na upendo vinauma unapojikuta haupo na mtu sahihi.
 
Binafs ningedili nao wote perpendicularly,
Kwa gharama yyt, Wangejuta kuzaliwa hii dunia.

Hasa hasa huyo George,
wanawake tunajua waiumbwa udhaifu.
Shida ni mwanamke na siyo George
 
Jasiri hawez kusahau kwao huyo ni malaya na malaya kuacha sio rahis labda atakubadilishia style ya kuufanya umalaya wake akijitahd sana atakuwa analiwa kipindi ambacho we utakuwa mbal nae either kikaz au mengne fanya mwache tu aende kwa G ndo mtu anaempenda
 
Ushauri wako muhimu makubaliano hayo aweke kwenye maandishi wakiachana asidai chochote
 
Sad story bro.
 
Yani jamaa bwege sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa zamani walikuwa na kautaratibu kamoja kazuri. Mtu anamchukua mwanamke anamtolea Mali anazaa naye watoto Hadi wanakuwa wakubwa. Umri ukiwa umeenda enda na Katoliki wametangaza sana wasio na Masakramenti Kuna ndoa ya pamoja. Basi nao wanajiandikisha na kuoana uzeeni. Hii principle somehow inafaa Kwa kizazi hiki. Kwa Sasa wanaita sogeza tukae. Ina Raha yake maana George akisumbua tu anapelekewa kabisa Aishi naye.
 
Hivi hii nilive au nistory ya kusadikika mzee,maana kama nyaya zinagonga kichwani hivi
Nakutoa cheche.
 
Sikuzote mwanamke hana huruma na mwanaume. Iko hvyo.. wanaamin sex ni payback ya chochote unachomfanyia. Wanaamin hata ukimfanyia jema.. sex anayokupa inatosha kukulipa chochote.tuish nao kwa machale sana
Umeandika ukweli mkubwa sana hapa wenye kubeza ukweli huu mchungu nao wachunguzwe,ndio maana ukioa mwanamke mwenye mentality ya kukuuzia uchi wake ,hata umfanyie mambo mema kiasi gani hua hazingatii akiamini kua mna exchange kwa sex.
 
"basi kama tulivyo shauriwa kule kanisani kwamba mwenzio akiwa anahitaji kufanya jambo fulani mwache atimize maana mzozo huanzia hapo."


Kanisa!Kanisa!Kanisa!.
Pole mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…