Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini


asante kwa ushauri
 
Hivi kweli ukiwa umepata haya utakumbuka na kuandika mpaka nukta kwa kweli uongo mmezidi Sana Hadi aibu

Daah

tatizo lipo wapi?, uandishi wa kuweka hadi nukta unaingiliana vipi na mada?
 

[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
We jamaa nakushauri uyo mrembo achana nae utakuja kufanywa kitu kibaya sana huko mbeleni, isitoshe uyo mwanamke ujamuoa kwa ndoa ilo la kwanza, kingine uyo mwanamke umemkuta na mtoto sasa vyote viwili ivyo vinakupa wewe nguvu ya kuchukua maamuzi magumu ya kumuacha. Usipochukua uamuzi wa kumpiga chini nakuaidi ipo siku atakupiga tukio moja kubwa sana uto kuja amini jamaa angu
 
Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio,swala la kusamehe au kutokusamehe liko mikononi mwako,sisi wengine ushauri tutakaokupa ni hisia zetu binafsi,zinaweza kukusaidia au kukupotosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…