Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Pole sana. Kiutu uzima ondokeni eneo la tukio muende mbali na umsamehe kisha ndio ufanye maamuzi ya kumuacha ua kuendelea nae.

Uzinzi upo na unafanywa na binadamu kama sisi. Cha msingi angalia sana maisha yenu baada ya hili yaendelee na sio kuyakatisha

asante kwa ushauri
 
Hivi kweli ukiwa umepata haya utakumbuka na kuandika mpaka nukta kwa kweli uongo mmezidi Sana Hadi aibu

Daah

tatizo lipo wapi?, uandishi wa kuweka hadi nukta unaingiliana vipi na mada?
 
Hii coment yangu ningekuwa na uwezo ningeiweka kama stiky pale kila mtu akawa anaiona. Nimeiseme mara nyingi na leo nasema tena [emoji116]

KOSA LA MWANAMKE KUCHEPUKA HALISAMEHEKI, HALISAMEHEKI HATA ASHUKE MALAIKA. NARUDIA TENA KOSA HILO HALISAMEHEKI WALA HALIVUMILIKI. HAPANA HAPANA HAPANA

[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
We jamaa nakushauri uyo mrembo achana nae utakuja kufanywa kitu kibaya sana huko mbeleni, isitoshe uyo mwanamke ujamuoa kwa ndoa ilo la kwanza, kingine uyo mwanamke umemkuta na mtoto sasa vyote viwili ivyo vinakupa wewe nguvu ya kuchukua maamuzi magumu ya kumuacha. Usipochukua uamuzi wa kumpiga chini nakuaidi ipo siku atakupiga tukio moja kubwa sana uto kuja amini jamaa angu
 
Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio,swala la kusamehe au kutokusamehe liko mikononi mwako,sisi wengine ushauri tutakaokupa ni hisia zetu binafsi,zinaweza kukusaidia au kukupotosha...
 
Back
Top Bottom