khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
- Thread starter
- #101
Masikini mtoa mada !!![emoji134][emoji134]
Mapenzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini mtoa mada !!![emoji134][emoji134]
Wewe ni Mjinga
Ni Mjinga Kwa sababu, Umekubali machozi ya mwanamke Yakuhadae.
Niamin Mimi, Mwanamke atendapo uovu, Silaha yake yakwanza ni MACHOZI na vitisho vya kujiua
Yaan huyo Ungemfukuza Mara Moja, aende akajinyonge na kujiua mbele Kwa mbele ... Atajua mwenyewe !!
Ninarudia, Mfukuze huyo Mwanamke Bila huruma , Hastahili msamaha !!...
Kakudharau namna gan?? Hata km ni kutombwaa ndio mpaka majumba bovu??? Vichochoron??sawa kutombwa ni kutombwaa ndio MPAKA MAJIRAN WAJUE !! yaaan alikua anatombwaa akijua ameshakupa limbwata.
Umefeli due diligence.Ngoja niende moja kwa moja kweye mada husika, jana mida ya saa 10 jioni nilipokea simu kutoka kwa bi mkubwa mmoja wa makamo kidogo miaka kama 55 hivi, huyu bi mkubwa alikuwaga jirani yangu nilipokuwa nimepanga mwanzo na mpenzi wangu.
Baada ya kupokea simu yake alianza kujitambulisha mimi ni mama X hapa jirani yako ulipohama, samahani mwanangu naomba tuonane kuna jambo muhimu sana, nikamjibu sawa mama ila saa hz natoka kazini nikifika nyumbani nitakuja huko kwako akajibu sawa naomba uje usikose nakuomba sana, nikamjibu sawa hakuna shida. Niliitikia wito wa kwenda bila kujua kuna jambo gani limetokea.
Sasa wakati nimerudi nipo nyumbani napata chakula mke wangu yupo pembeni nilimuona akiwa kwenye mawazo sana hadi nikamuuliza unawaza nini?, alichonijibu akasema “hamna siwazi kitu”…nilipomaliza kula nikamuuliza tena una shida gani mbona leo umepooza sana, ndio akaanza kuniambia kuwa kuna jambo limetokea ila anaogopa kuniambia, nikamwambia niambie tu hakuna shida, akaanza kufunguka akitanguliza msamaha kwanza “samahani sana naomba unisamehe huku akilia” nikamwambia niambie kuna nini, akaanza kulia tena nisamehe hamy eti mama X amekuta msj zangu kwenye simu ya mume wake msj ambazo ni za muda sana nilikuwa nachat na mume wake ndio kaziona leo. Kiukweli nilipata presha kidogo nikasema okay hakuna shida, mimi nitaenda huko kwa mama X kuona hizo msj.
Nikampigia yule bi mkubwa nikamwambia mama ndio nakuja huko kwako nikukute akasema sawa, nilipofika kwa yule bi mkubwa akaniambia “mwanangu samahani sana kitendo alichokuwa ananifanyia mke wako ni kibaya sana, hapa nilipo hata sijui nifanye nini?, ila nitamfanya kitu kibaya mke wako”, aisee nilishtuka sana nikamwambia kuna nini?, ndio bi mkubwa akanipa simu akiniambia angalia hizo msj za mke wako alivyokuwa wanawasiliana na mume wangu. Daaah nilikuta msj za hovyo sana tena sana wanawasiliana mara wakutane gest wanayoendaga, mara wakafanye mapenzi kwenye jumba, mara vichochoroni, mara chumbani kwake yaan mzee alikuwa anavizia mke wake akiwa hayupo anamuingiza mke wangu chumbani kwake anaenda kula tunda, mara chooni yaan msj kibao za hovyo, wakati nasoma zile msj yule bi mkubwa alikuwa akilia hadi baadhi ya majirani wa pale wakaja na wao wajue nini kinaendelea ndio bi mkubwa akaanza nae kufunguka “yaan huyu mtoto ambae ni mke wangu, lazima nimfanye kitu haiwezekani kabisa atembee na mume wangu alafu aniache mimi hapa nateseka na familia”, ndio majirani nao wakaanza kufungua, mbona sisi tulikuwa tunajua hayo mambo lakn tulikuwa tunaogopa kuongea maana tungesababisha mauaji, nikasema okay mama hakuna shida.
Nikaondoka zangu wakati nipo njiani nilikuwa na hasira sana, nilipofika nyumbani nikamkuta mke wangu analia sanaa huku amesika kisu bora nijiue mimi nitaenda wapi sasa, nisamehe mume wangu nimekosa nisamehe sana, aisee tukaanza mikimiki pale ya kumpokonya kisu kwanza kabla ya mambo mengi, nikabahatika kumpokonya kisu huku bahati mbaya kikiwa kimemkata mkononi damu kama zote, sasa wakati nilipokuwa kwenye harakati za kumpokonya kisu kumbe nje majirani walikuwa wanasikia zile kelele zake ndipo majirani nao wakaja ili wajue kuna nini, kufika pale wanakuta damu kama zote huku mm nikiwa nimeshika kisu mkononi, mke wangu yupo chini analia “naomba unisamehe hammy nisamehe mimi nitajiua usiponisamehe”, yaan hadi naandika haya sijui hata nimfanye nini huyu mwanamke [emoji51]…..?
Yaani comments za wanaume mnamuona huyo dada hafai wakati mpo wenye ndoa na michepuko kibao. Mwanaume malaya pia hafai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..
Mtoa mada hujawahi kuchepuka?
Amesema ilikua zamani asijipe presha buree!Sasa ya nini kuishi na kisasi yaani hapo dawa ni kumuacha
Pinga kwa utafiti. Kuna jamaa wa centre for aids research aliniambia pia kuwa u r more likely to get hiv from ur wife au gelofrend kuliko kutoka kwa malaya.Napingaaa!!! Si kweli!!
Infidelity kwa ndoa za karne imekuwa tatizo kubwa sana.
Kaa na mke wako muyamalize, ukisema umuache huenda ukakutana na kimeo cha kwenda. Hopefully na wewe at some point in your marriage umeshawahi kucheat.[emoji1787]
Chepuka ila usikamatwe.Yaani comments za wanaume mnamuona huyo dada hafai wakati mpo wenye ndoa na michepuko kibao. Mwanaume malaya pia hafai😃😃😃😃😃..
Mtoa mada hujawahi kuchepuka?
Na inaonekana unampenda sana nayeye amejua hilo!Mapenzi tu
Na mbaya zaidi unalea na mtoto wa mwanaume mwenzio!! Vipi wewe ushazaa nae kwanza??ni kweli ila sasa kujua kitu na ushahidi upo moyo unauma sana
Na inaonekana unampenda sana nayeye amejua hilo!
According to kaburi lako taarifa zinaonesha ni singo maza so hata huyo mtoto si wako!
Hapo sikushauri mkuu anakuchezea akili huyo!
Mi nilijua no mkeo wa ndoa asee!!
Ohooo, kumbe ndivyo ilivyo? Ndio maana watu wanakuwa na unaa na singles yani, its not fair unalea mtoto wa mwanaume mwenzako then huyo mama akusaliti tena...Na mbaya zaidi unalea na mtoto wa mwanaume mwenzio!! Vipi wewe ushazaa nae kwanza??
Huyo anakupotezea muda kaka piga chini!
Tupo kwa mtoa mada mzabzab Mimi sihusiki hapa 🤔 😜 🤔😂🤣!!Pinga kwa utafiti. Kuna jamaa wa centre for aids research aliniambia pia kuwa u r more likely to get hiv from ur wife au gelofrend kuliko kutoka kwa malaya.
Kama wee mkweli ebu sema hujawahi kuuza mechi toka uanze kulijua de libolo
Umefeli due diligence.
Hii ni chai kama chai zingine.
View attachment 2206895
View attachment 2206896
Jamaa nae lazima atamla Bi Mkubwa na picha juu ili Mume wa Bi Mkubwa nae apate machungu! Hapo inakua ngoma draw, moja moja hiyo!!Asipomfukuza / akimsamehe trust me jamaa atabaki na kinyongo na lazima aje kulipiza !!!
Sii ndio hivyo mke wa mtoa mada kashauza mechi mpaka vichochoroniTupo kwa mtoa mada mzabzab Mimi sihusiki hapa 🤔 😜 🤔😂🤣!!
ohooo hapo piga chini asee!!hapana sijazaa nae
Jamaa nae lazima atamla Bi Mkubwa na picha juu ili Mume wa Bi Mkubwa nae apate machungu! Hapo inakua ngoma draw, moja moja hiyo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app