Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Yaani comments za wanaume mnamuona huyo dada hafai wakati mpo wenye ndoa na michepuko kibao. Mwanaume malaya pia hafai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..
Mtoa mada hujawahi kuchepuka?
Yani unashadadia umalaya???? Itakuwa na wewe ni malaya
 
Ngoja niende moja kwa moja kweye mada husika, jana mida ya saa 10 jioni nilipokea simu kutoka kwa bi mkubwa mmoja wa makamo kidogo miaka kama 55 hivi, huyu bi mkubwa alikuwaga jirani yangu nilipokuwa nimepanga mwanzo na mpenzi wangu.

Baada ya kupokea simu yake alianza kujitambulisha mimi ni mama X hapa jirani yako ulipohama, samahani mwanangu naomba tuonane kuna jambo muhimu sana, nikamjibu sawa mama ila saa hz natoka kazini nikifika nyumbani nitakuja huko kwako akajibu sawa naomba uje usikose nakuomba sana, nikamjibu sawa hakuna shida. Niliitikia wito wa kwenda bila kujua kuna jambo gani limetokea.

Sasa wakati nimerudi nipo nyumbani napata chakula mke wangu yupo pembeni nilimuona akiwa kwenye mawazo sana hadi nikamuuliza unawaza nini?, alichonijibu akasema “hamna siwazi kitu”…nilipomaliza kula nikamuuliza tena una shida gani mbona leo umepooza sana, ndio akaanza kuniambia kuwa kuna jambo limetokea ila anaogopa kuniambia, nikamwambia niambie tu hakuna shida, akaanza kufunguka akitanguliza msamaha kwanza “samahani sana naomba unisamehe huku akilia” nikamwambia niambie kuna nini, akaanza kulia tena nisamehe hamy eti mama X amekuta msj zangu kwenye simu ya mume wake msj ambazo ni za muda sana nilikuwa nachat na mume wake ndio kaziona leo. Kiukweli nilipata presha kidogo nikasema okay hakuna shida, mimi nitaenda huko kwa mama X kuona hizo msj.

Nikampigia yule bi mkubwa nikamwambia mama ndio nakuja huko kwako nikukute akasema sawa, nilipofika kwa yule bi mkubwa akaniambia “mwanangu samahani sana kitendo alichokuwa ananifanyia mke wako ni kibaya sana, hapa nilipo hata sijui nifanye nini?, ila nitamfanya kitu kibaya mke wako”, aisee nilishtuka sana nikamwambia kuna nini?, ndio bi mkubwa akanipa simu akiniambia angalia hizo msj za mke wako alivyokuwa wanawasiliana na mume wangu. Daaah nilikuta msj za hovyo sana tena sana wanawasiliana mara wakutane gest wanayoendaga, mara wakafanye mapenzi kwenye jumba, mara vichochoroni, mara chumbani kwake yaan mzee alikuwa anavizia mke wake akiwa hayupo anamuingiza mke wangu chumbani kwake anaenda kula tunda, mara chooni yaan msj kibao za hovyo, wakati nasoma zile msj yule bi mkubwa alikuwa akilia hadi baadhi ya majirani wa pale wakaja na wao wajue nini kinaendelea ndio bi mkubwa akaanza nae kufunguka “yaan huyu mtoto ambae ni mke wangu, lazima nimfanye kitu haiwezekani kabisa atembee na mume wangu alafu aniache mimi hapa nateseka na familia”, ndio majirani nao wakaanza kufungua, mbona sisi tulikuwa tunajua hayo mambo lakn tulikuwa tunaogopa kuongea maana tungesababisha mauaji, nikasema okay mama hakuna shida.

Nikaondoka zangu wakati nipo njiani nilikuwa na hasira sana, nilipofika nyumbani nikamkuta mke wangu analia sanaa huku amesika kisu bora nijiue mimi nitaenda wapi sasa, nisamehe mume wangu nimekosa nisamehe sana, aisee tukaanza mikimiki pale ya kumpokonya kisu kwanza kabla ya mambo mengi, nikabahatika kumpokonya kisu huku bahati mbaya kikiwa kimemkata mkononi damu kama zote, sasa wakati nilipokuwa kwenye harakati za kumpokonya kisu kumbe nje majirani walikuwa wanasikia zile kelele zake ndipo majirani nao wakaja ili wajue kuna nini, kufika pale wanakuta damu kama zote huku mm nikiwa nimeshika kisu mkononi, mke wangu yupo chini analia “naomba unisamehe hammy nisamehe mimi nitajiua usiponisamehe”, yaan hadi naandika haya sijui hata nimfanye nini huyu mwanamke [emoji51]…..?
Sasa kisu ulimpokonya ili iweje mkuu?achaga uboya
 
Msamehe tu ndiyo mkeo, nina imani amejifunza, inauma lakini vumilia jikaze kiuke toa msamaha
 
Huyo yupo ktk grief moment na kutishia kujiua ni defence mechanism ya kumuonea huruma ikiwa ameshafanya makosa. Hii huwa inatumiwa na wanawake wengi wakijiona wamefanya makosa makubwa na hawana pa kujitetea.

Akihisi anakumudu kwanza huanza kua mkali na kukutengenezea mazingira ya kukufokea ili ujichanganye umchape makofi kisha kesi ikurudie wewe kua umempiga kwa kumuonea. Ikishindikana atajiliza kutaka huruma yako. Wakiona mambo mazito ndio wanatishia kujiua sasa.

Utakua boya sana ukimsamehe moja kwa moja mtu msaliti wa namna hiyo.

Niliwahi kuishi na mdada mmoja, tena alikua single mother na nilkua namtimizia mahitaji yake yote pamoja na mwanae na biashara nikamfungulia. Akawa anacheka cheka ovyo na wapangaji (hasa wa kiume) na kugawa gawa namba zake njiani. Mwisho wa siku akanipiga tukio nikakuta sms za ajabu ajabu ktk cm yake zikionyesha anamegwa na nyngne akiwa anaelekea kumegwa tena na washkaji zangu wa karibu. Nilipomuweka mtu kati akaleta pigo za kutaka kujiua.

Nilichokifanya sikupanic, nikapretend nimemsamehe huku mdogo mdogo nikaanzisha mji mwngne. Nilipohama ndio ikawa mazima na mpaka sasa anaishi ingawa daily hachoki kutuma text za kuomba turudiane na maisha yamemchapa. Mwanamke msalilti is for the streets bro. Muache aende zake you deserve something better.
Hongera mkuu kwa kuweza kuwasoma na kuwaelewa vyema watu wa design hii aina ya tabia wanazokuwa nazo..
 
Ningekua mimi kwanza ningemwambia huyo Bi mkubwa kama anaweza kumuua amuue tu haraka... Halafu hapo uliporudi home ukamkuta ameshika kisu anatishia kujiua ungejifanya kama umzuia lakin unamuacha ajichome ili afe vzuri mamaeee... Mwanaume rijali unaishi vipi na mwanamke amekucheat waziwazi na ushahidi unao... Fukuza mbwa hiyo
 
we huitaji ushauri unaoneka una moyo wakuendelea kuishi nae me ikija kutokea kuoa halaf nikaja kujua mtu fulani alikuwa na mahusiano ma mke ila ni kabla sijamuoa siku nikiona hata wamekaribua namuacha
 
wanawake ni viumbe wa hatari sana,nina mkasa wa mwanangu ,ukisisikia mwana yaani yule toka tuko age 05(early childhood).kutokana na kuwa marafiki tumeunda undugu,tukashauliana tumekuwa watu wazima tujenge sehemu majirani ili watoto wetu waendeleze ile uhusiano wetu. ebana ebana yule shemeji yangu anavogawat tunda kimasihara kwa mkolo flani ,bwege 1.Kwanza yule manzi kazaa mtoto za kunyapia yule mtoto mwanangu kabambikiziwa.kitu mbaya yule mkolo anatamba mtaa yule manzi hawezi niacha(shem).kuna story nyingi za kutisha
jamaa ni mwanagu ila kwenye hili nimeshindwa mueleza naona mauaji yanaweza tokea ukizingatia jamaa ni mlinda amani anaweza toka na bomba akamwaga mtu kinyesi.BY the way jamaa aliwahi pata hizo story ila manzi akajiliza na kusema ni wivu anasingiziwa and no action has been taken in short mwanangu yuko ndani ya chupa.
Ni story ndefu nalinda faragha ya mwanangu,nimekosa namna ya kumsaidia kabisa,nikisema nimuite yule manzi nimueleze aache hyo mambo nahofia reply kutoka kwake inaweza kuwa neg
 
Rudisha kwao maramoja tena ubder escort, wambie unahitaji kupumnzika the ukirudi oa haraka sana
 
Kuna wajinga watakwambia tafuta pesa usichapiwe.....

Haka kamsemo ni ka kujipa moyo tu

Wapo wanawake wamepewa kila kitu na waume/ boy friend zao lkn bado wanapigwa nje.

Mwanamke akiamu kunyanduliwa hata umpe dunia yote na vyote vilivyomo ndani ataliwa tu.

Muhimu ni kujiandaa kisaikologia na maamuzi magumu siku ukikuta manyoya.
 
Huyo mzee si ndio yule alikuwa analea familia yako ukipigika? Ulitegemea ilikuwa for free? Kama ulivumilia kuona message za miamala kwenye simu ya mkeo sioni cha ajabu kuona message za kuliwa vumilia tu mzee mpaka utakapopata uhuru wako wa kiuchumi.
 
Back
Top Bottom