Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

Hahaha mchepuko akishakula papuchi, hamjali tena huyo mwanamke kwa jambo lolote, kazi yenyewe mshahara haueleweki, mwanamke anaona bora arudi alikopaacha πŸ˜‚ cacutee
Ndiyo kosa wanalofanya wanawake wengi. Mwanaume wa nje anajua uko kwa mume wako. Haingii gharama za kodi, matibabu, umeme. Anajua akitoa elfu 50 anakula na vinywaji hadaiwi tena. Siku mwanamke akiachika anakimbia kwa sababu anajua gharama zitakuwa kubwa. Halafu walivyo wajinga wanarudi na kuomba msamaha eti nimedanganyika, sijui malezi ya watoto, visingizio kibao. Alipokuwa anaondoka hakuyaona hayo?
 
Cha muhimu kuliko vyote pimeni afya zenu wote sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hapo cha ajabu kipi?
Hapo cha ajabu kipi?
 
Soma nilichokushauri kwene mke wako alivoacha ndoa kisa kazi page3 ndo uamin kuwa nilikua najua lazma atarudi bro. Hapo la msing afanye aloyasema yeye na wewe mpe mashart yako afu pima afya mrudiane maisha yaendelee.
sio kupima afya tu, apime na mimba kabsa, asije kushikishwa zigo la mtu, baada ya hapo mkalishe kikao wew na yeye, umpe mashart ya yako na umkanye kuhsu tabia zote za kipuuzi (hakikisha unakua sirias sana), then msamehe kwa sharti la akisudia ndo imeisha hiyo.
 
Asante Mkuu... nimekuelewa
 
Kama Mariam nisaulie, mshangazi nginjanginja wa ngoma baikoko anaezungusha uno kabebelea kisinia kwa kona ya tako alirudishwa na mumewe, sembuse huyo wakwako....😜
Asipofuata ushauri wako basi naye ana mapungufu 🀣🀣
 
Wengi wanamponda mtoa mada, ila najiuliza kwanini mwanamke karudi kwa huyo mwanaume
kurudiana nae ni sawa na kunywa sumu inayo ua polepole.
Yey afanye maamuz kama mwanaume asiangalie watu, ndugu watanionaje.
Kwan maisha ni yake akifa kwa presha/msongo watoto wake bdo wataishi tu.
 
Bora wewe huyo mwezi mmoja, kuna mwenzako aliagwa na mke anakwenda masomoni nje ya nchi akamwacha mume na mtoto mdogo wa mwaka mmoja kumbe amekwenda kuwekwa kinyumba na dogo mmoja huko Arusha, akadungwa mimba thamani yake ikaporomoka hana pa kujishika
 
Ameshalombwa huko na aliye mlomba kampiga chini now anataka kurudi kwako baada ya matarajio yake yote kwenda wrong
 
Mke wako ashakuwin na ameshajua cheat code zote kama unavojua love is game only who knows cheat code wins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…