Punguza kula wanga (Wali na Ugali) na ujikite zaidi kula Viazi vitamu, magimbi, maboga, ndizi, nyama, mayai na mboga za majani.Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Jibu sahihi kabisaKeshakuwa mke tayari, unadhani hao wanene unaowaona hawakuwa vimodo?
Na badoWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Nishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalalaMwambie ukweli kama hupendi awe bonge,mengine atajiongeza mwenyewe afanyaje apungue,zingatia kauli ya busara unapofikisha ujumbe wako!!
Mna watoto?Nishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
Ahsante kwa ushauriPunguza kula wanga (Wali na Ugali) na ujikite zaidi kula Viazi vitamu, magimbi, maboga, ndizi, nyama, mayai na mboga za majani.
Pili acheni kabisa matumizi ya Sukari (Chai) na mlo wote wa asubuhi achaneni nao, kwasiku muwe mnakula mara mbili zinatosha kabisa, na jioni hakikisheni mnakula around saa mbili usiku.
Akifanya haya, atakuwa amepunguza asilimia 70% za tatizo lake.
Be a Man, msimamie kwenye kuyatimiza hayo.