Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

nahisi kaona hivi viporo vinazagaa hakuna wa kula na kumbe hawali viporo
Kijibwa kinatakiwa kununuliwa chakula cha kijibwa, sio viporo tu.

Halafu kikiumwa unakipeleka hospitali ya vijibwa.

Ni kama kitoto.
 
Wakizungu niwazuri mnoooo ukiwapa mafunzoo wanaelewaaa, pili wanakuwa kwa haraka km ukijua kuwatunza vyema, alafu ni wakubwaa mnooo yani karibu wawe km ndama wa Siku tano
Hahahahaaaa wa kiswahili wabishi eee[emoji13] na wagumu kuelewa.....nimecheka Sanaaaa
 
Hivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.


sasa kimbwa cha ndani kama haka kanawezaje kuingia kwenye lipapachu la mke wa jamaa? mbwa si ataingia mpaka na kichwa ndo atoshee? acha kutukana wake za watu bwana, kufuga mbwa ni hobi tu kama wengine tunavyofuga bundi, mamba na chui (e.g mshana jr )
 
Inawezekana amepata simulizi jinsi Mr dog anavyoweza kuzama chumvini, nategemea anataka umnunulie mbwa dume ili akusaidie kazi pindi ukiwa safarini
 
Nenda insta kwenye page na nakaaya anauza mbwa wa kizungu...Bei ni 1.5 - 3 milion kama sikosei, Sasa cjui kwa usawa huu wa magu utanunua mbwa au chakula[emoji1] [emoji1]
 
Mpe faida za kufuga kuku na ajitathmini na huo mpango wake.
 
Nimechukizwa na kaiga kwa jirani, usipojichunga ataiga na michezo mibaya nayo ufanye in the name of LOVE.....
 
Nenda insta kwenye page na nakaaya anauza mbwa wa kizungu...Bei ni 1.5 - 3 milion kama sikosei, Sasa cjui kwa usawa huu wa magu utanunua mbwa au chakula[emoji1] [emoji1]
sikutaka kucheka kwa sauti sema nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…