Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Kijibwa kinatakiwa kununuliwa chakula cha kijibwa, sio viporo tu.nahisi kaona hivi viporo vinazagaa hakuna wa kula na kumbe hawali viporo
Halafu kikiumwa unakipeleka hospitali ya vijibwa.
Ni kama kitoto.