Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Ndio maana nilitaka kujua faida ya hivyo vijibwa mkuu

Faida zingine ulinzi wa Nyumba yako. Kwa hiyo fanya chaguzi sahihi. Ila hata hiyo nyingine ni Faida maana anaweza kukuepushia mamsapu kutokuchepuka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…