Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Hata sijui aisee. Itabidi uwauze tu kwa kweli.
Duuuh, yaani huwa ninawasaka hadi nje ya nchi, niwauze tena jamani!
Ni rafiki wazuri sana
Wana utii wa hali ya juu kwa mmiliki
Wanafundishika
Wana faida kubwa akizaa papi wa 2 month unauza hadi 1.2ml ikiwa ni pure breed.
Wanafaa kwa ulinzi ukiwafundisha ku attack adui
 
Daah. Hiyo ngumu kumeza kwa kweli. [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie utamnunulia kwani shida ipo wapi Bro,Hao kama watoto tu siku yakiwapanda akili zao wanazijua wenyewe! Ila naomba jirani yako nae siku anunue Ndege au helkopta.
 
Vijibwa hivi vina tabia ya kukata viuno, na kulamba lamba.......vina sifa ya ufundi leo kataka kijibwa kesho atataka jib was
 
Leo kijibwa kesho atataka Dolido(dildo) kisa jirani analo
 
Anahitaji kampani maana inaelekea ukienda kuamsha gari saa 9 alfajiri kurudi saa 6 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…