Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh. Kumbe ndio mana una uzoefu nao.Kuna jirani anafuga aina kibao
Wateja wake wengi wanawake, sample wanazochukua nazifaham!
Hasa wale ladies high class na magari yao!
tafti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh. Kumbe ndio mana una uzoefu nao.Kuna jirani anafuga aina kibao
Wateja wake wengi wanawake, sample wanazochukua nazifaham!
Hasa wale ladies high class na magari yao!
tafti!
Duuuh, yaani huwa ninawasaka hadi nje ya nchi, niwauze tena jamani!Hata sijui aisee. Itabidi uwauze tu kwa kweli.
Daah. Hiyo ngumu kumeza kwa kweli. [emoji23] [emoji23]Duuuh, yaani huwa ninawasaka hadi nje ya nchi, niwauze tena jamani!
Ni rafiki wazuri sana
Wana utii wa hali ya juu kwa mmiliki
Wanafundishika
Wana faida kubwa akizaa papi wa 2 month unauza hadi 1.2ml ikiwa ni pure breed.
Wanafaa kwa ulinzi ukiwafundisha ku attack adui
Hata kikiwa cha kike kinauwezo wa kupiga deki[emoji16]Mkuu mnunulie kijibwa lakini make sure kiwe cha kike.
Hapana huo ni uongo kwa wazungu hukoHivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
Wapo wengi una penda mbwa wa aina gani?Mm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Acha hasira mkuu mnunulie kama utaweza nikuanzia laki3 tu me ninao 4 haoYaani nilivyokuwa na hasira ndio maana sikutaka hata kumuuliza jirani asije akaona nampa ushirikiano ndio maana nimeileta kesi huku mkuu
Hiyo inaweza kuwa ni njia ya mke wako kwenda ku spend time kwa jirani kisa kijibwa... yanafuata hapo ni siri yao...
Inaonekana mkeo na jirani ni ndege wafananao, ipo siku wataruka pamoja...
cc: mahondaw
Hivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
Hahaa. Huenda ikawa ana lengo jingine nje ya hilo.Usicheke mkuu inasikitisha sana.
Ndio chenyewe mkuu,mwanamke ana visa huyuAnataka km huyu mnunulie tuuView attachment 532593
usinunue mkuu kitatumia papuchi yako.usikubali kushea na mbwa papuchi kabisa.
Anataka km huyu mnunulie tuuView attachment 532593
Noma sana mkuu.Si umekiona hiki kimeshatoa ulimi wake tayari tayari kwa kupiga deki lol! 😛😛😛