kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Aksante tichaMbwa ni kampani wala hana ubaya, bado ni mlinzi pia ni analeta entertainment hasa kwa watoto wanapata kitu cha kucheza nacho , inavyoonekana unakuwa haupo mara nyingi . Pia vitu vingine fanya uchunguzi tu labda hata uko kwao alipotoka alikuwa nae. Alafu Take care na mambo ya ndani usiyalete huku kwenye jamii forum.