Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Hata sijui kwa kweli best mana sijawahi kufuga vijibwaEmmyta si kweli lakn?? Au
HeheeMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Jirani wengine ni changamotoHahaaa. Ndio hao jirani akiwa na gari naye anataka gari lol.
Sijui tuite ndio wivu my wi.
Fuga rafki, usipende kusimuliwasimuliwa, jionee mwenyewe!Hahaaaa. Hata sijui kwa kweli best mana sijawahi kufuga vijibwa
Hehe jaribu mkuuHahaaaa. Hata sijui kwa kweli best mana sijawahi kufuga vijibwa
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Daa. Aisee rafiki mi na vijibwa tupo tofauti kwanza kiukweli naviogopa hatariiFuga rafki, usipende kusimuliwasimuliwa, jionee mwenyewe!
Experience the difference
Mkuu nahisi kitanikimbiza kila siku mana sio kwa uoga nilio nao. [emoji23]Hehe jaribu mkuu
Hehehe pole mkuu, nahisi kwako hata kuku hakuna!Mkuu nahisi kitanikimbiza kila siku mana sio kwa uoga nilio nao. [emoji23]
Usicheke mkuu inasikitisha sana.Hahaaa
Tabia za ajabu kabsaaYani sijui nimuweke kundi gani,wenzie huku tunataman kumiliki kosta,kuweka mazao hata magunia 1000,kuwa na maisha ya kujiweza.yy anatamani kimbwa,!![emoji17][emoji17].Aseeeee!!sijui mnunulia
Hapana ni north zoneVp mkuu, mkeo ni hehe tribe?
Hahaaa. Ahsante mkuu.Hehehe pole mkuu, nahisi kwako hata kuku hakuna!
ok,mnunulie tu sema utunzaji wake kidogo ni changamotoHapana ni north zone