madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
-
- #141
Ukistaajabu ya mussa utaona ya firauniAnahitaji kampani maana inaelekea ukienda kuamsha gari saa 9 alfajiri kurudi saa 6 usiku
Mnunulie German shepherd ..... Dani ya dakika mbili atamrudisha kama hajui mbwa ... Kama ana nature na wanyama basi atakaa nae.Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Mtihani sasaLeo kijibwa kesho atataka Dolido(dildo) kisa jirani analo
Ndio maana nilitaka kujua faida ya hivyo vijibwa mkuuTena wengine wasemekana ni wataalamu kwa kudeki chumvini ! Mzee anagalia majirani wasije kuwa wameshapeana uzoefu na mamaa anataka kumiliki yake kabisa. Hahaaaaaaaaaaaaa.
Duuh mkuu nimeshampiga marufuku kupuyanga kwa majiraniMwambie utamnunulia kwani shida ipo wapi Bro,Hao kama watoto tu siku yakiwapanda akili zao wanazijua wenyewe! Ila naomba jirani yako nae siku anunue Ndege au helkopta.
Kisa kurambwa papuchi tu lk3 dar wacha nifikirie mara mbili naweza ingiza mume mwenza ndani na kwa gharama zanguAcha hasira mkuu mnunulie kama utaweza nikuanzia laki3 tu me ninao 4 hao
Wacha tuwatangazie watu wa nyanda za juu kusiniNina mbwa koko pale kwangu
natafuta mtu wa kumpa;
kulinda ndoa njoo umchukulie
nitakupa na nyororo yake.
Ukifuatilia huu uzi utaona picha zaoKijibwa kipi uko mkuu
Anataka kijibwa hua vinazama chumvini kaka.
Muulize kwanza anataka kijibwa cha kike au kiume.kuhusu bei Wema Sepetu anajua alikuwa alikuwa navyo.Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Hatuna mkuuMkuu mna watoto wangapi?samahan lakin,baada ya jibu nitatoa sababu
SawaMuulize kwanza anataka kijibwa cha kike au kiume.kuhusu bei Wema Sepetu anajua alikuwa alikuwa navyo.
Shukrani kwa ushauri wakoMnunulie tu mana hamna namna