Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Mnunulie German shepherd ..... Dani ya dakika mbili atamrudisha kama hajui mbwa ... Kama ana nature na wanyama basi atakaa nae.
 
Tena wengine wasemekana ni wataalamu kwa kudeki chumvini ! Mzee anagalia majirani wasije kuwa wameshapeana uzoefu na mamaa anataka kumiliki yake kabisa. Hahaaaaaaaaaaaaa.
Ndio maana nilitaka kujua faida ya hivyo vijibwa mkuu
 
Mwambie utamnunulia kwani shida ipo wapi Bro,Hao kama watoto tu siku yakiwapanda akili zao wanazijua wenyewe! Ila naomba jirani yako nae siku anunue Ndege au helkopta.
Duuh mkuu nimeshampiga marufuku kupuyanga kwa majirani
 
Hawa mbwa nasikia kwa kuzama jumvibi hatari akizoea ako katabia umekwisha.
 
Acha hasira mkuu mnunulie kama utaweza nikuanzia laki3 tu me ninao 4 hao
90497e294bbc64cd18f21f438a93abe3.jpg
Kisa kurambwa papuchi tu lk3 dar wacha nifikirie mara mbili naweza ingiza mume mwenza ndani na kwa gharama zangu
 
Vinatumika sana kuwalamba wanawake sehemu za siri
 
Huyo kuna vijimambo anaona wewe humfanyii, ila ana Imani atatimiziwa na vijibwa!
 
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Muulize kwanza anataka kijibwa cha kike au kiume.kuhusu bei Wema Sepetu anajua alikuwa alikuwa navyo.
 
Mkuu mna watoto wangapi?samahan lakin,baada ya jibu nitatoa sababu
 
Back
Top Bottom