Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
kama unaipenda ndoa yako usinunue nishaa achana na wanawake watatu kwa sababu ya kuwafumania wakilambwa uvinza na hivi vijibwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vijibwa uliwanunulia mwenyewe?kama unaipenda ndoa yako usinunue nishaa achana na wanawake watatu kwa sababu ya kuwafumania wakilambwa uvinza na hivi vijibwa
Hii ndio faida ya kushirikisha wadau jf kumbe wengine washatendwa tayari ningejuaje bila kuulizakama unaipenda ndoa yako usinunue nishaa achana na wanawake watatu kwa sababu ya kuwafumania wakilambwa uvinza na hivi vijibwa
Unampambanisha mwenzio ili iweje badala ww umshauli kwa kuwa unajua kazi yake unamwambia anunue me like kwani wanawake hawasagani wao kwa wao ?Mnunulie cha kike...... Usipende mnyima mkeo avipendavyo kama uwezo unao wa kununua! Hayo ya kusema kambwa kanakua kabwana mdogo cjui kama yanaukweli wwte. Nunua ndugu yangu kama pesa ya kununua unayo....NUNUA
Me nakataa ni mbwa kama mbwa wengine huo utamaduni wa hayo memgine ni wawazungu sio kwetu kwa uelewa wangu me. Me nawafuga na wako poa sanaHii ndio faida ya kushirikisha wadau jf kumbe wengine washatendwa tayari ningejuaje bila kuuliza
Usiulizie bei ya kijibwa, ulizia gharama ya kukatunza hako kajibwa ...Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Mhh kumbe unaweza kumnunua mume mwenzio ?Hii ni hatariHivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
hataki hawa wa kuwindia anataka hao wa kulala kitandaniila vyakizungu ni garama in everything mnunulie hawa wakwetu tu
mmh bado sijapata maamuzi kwa haya nilioambiwaIf u afford its price buy to her bro!
lol, kumbe wale wauza mbwa bado wapo!!! kitambo sana tangu nipo kinda nawaona na maisha hayabadiliki ni wapo vile vile.Nenda pale Victoria kwa Mateja utapata vijibwa vya kununua