Mke wangu amejifungua mtoto njiti nibaki sielewi kabisa

Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Wacheki hawa NEST360 Tanzania
 
Hili tatizo mbona ni common Tanzania na Kuna programme ya kukabiliana nalo kwa Tanzania.
Upo Mkoa Gani na huyo mtoto yupo Hospitali Gani kwa sasa.!?
 
Wabongo tunawakosea sana watoto wetu kama watu wanazaa ili kuonesha urijali
Watu wanazaa, hasa wanaume wanafanya hivyo ili kuonesha ulijari, na kuepuka kuambiwa ni Shoga.

Mtaani huku unakuta mtu hata yeye binafsi hajiwezi, ila anakazana kutafuta mwenza wapate watoto, ili kuepuka adha ya kunyooshewa kidole na jamii. Lol
 
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
1000324796.jpg

Watafute Hawa
 
Back
Top Bottom