Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

Sumbi Sanchez

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
100
Reaction score
355
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.

Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
 
Mpende mke wako, usitake kumfanyia mke wako kitu ambacho hutamani na yeye akufanyie.
Fikiria matokeo ya kitendo hicho kama ungefanyiwa wewe kama angekuwa ni houseboy.

Usiwasikilize watu wa mtandaoni maana hawatakuwepo pale ndoa yako itakapoingia dosari na hakutakuwa na msaada.
 
Nakumbuka kwa baba mdogo wangu aliletwa msichana wa kazi mwenye shepu moja matata na sura nzuri. Yule binti alikuwa na mzigo wa kufuru. Alidumu kazini chini ya masaa 72 baada ya mama mwenye nyumba kuchukua maamuzi magumu ya kumuachisha kazi.
 
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.

Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
Acha uboya kijana, jiheshim na heshim familia yako.
 
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.

Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
Unacho takiwa kufanya ni kuacha tamaa za kingono "kushneh"
 
Back
Top Bottom