Sumbi Sanchez
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 100
- 355
Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
Mpende mke wako, usitake kumfanyia mke wako kitu ambacho hutamani na yeye akufanyie.Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.
Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
Umeniwahi nilitaka niandike hivihiviMtue huo mzigo asichoke kuubeba peke yake...
Umeniwahi nilitaka niandike hivihivi
Acha uboya kijana, jiheshim na heshim familia yako.Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.
Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana ana umri kama wa miaka 19 hivi mpaka 21. Sasa nauliza. Nifanyeje?
Unacho takiwa kufanya ni kuacha tamaa za kingono "kushneh"Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.