Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

Kwa hiyo unataka tukuhalalishie uzinzi ama
Huyo ni mke wako kweli au kimada?
Kama unawajali wanao kaa mbali na huyo msichana na umfanye kama mwanao tu
Hayo ni majaribio unayopitia ila huu ndio ushauri wangu wa kikubwa
Heshimu ndoa yako kama ipo
 
Ebu picha !?
 
mkeo kakuletea mboga
 
To,mba kesho leta mrejesho mliachanaje na mkeo alipogundua.
Fala we
 
Fanya kinachofanyika mkuu ipende familia yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…