Mke wangu amenenepa mno

ni PM nikupe diet plan
 
Oa mke wa pili na ajue lazima akonde


Au raha jipe mwenyewe tafuta vibinti hilo nguruwe achana nalo
Naomba nikukosoe ndugu yangu.Si Sahihi kumuita binadamu mwenzako Nguruwe,nimeumia Sana japo hainihusu lkn sio vizuri, Kumbuka "Mungu alituumba sisi binadamu wote kwa sura na mfano wake", Kumbe tusiitane Majina mabaya Wala kudharauliana.
 
Kajifungua hana mda mrefu? Afu si mda tena anataka kumwachisha?
ina mana wewe na huyo mkeo aliye nenepa mnapanga kumwachisha huyo mtoto wa jamhuri akiwa na umri wa miez mingapi?
achen kunyanya watoto wa jamhuri.
 
Mtu akishakuwa wako bana unaanza kumuona wa kawaida mpaka inafikia unamuona ana makasoro kibao,sasa angalia wasio mmiliki wanavyohaha,eti tuma picha[emoji16][emoji16]...
 
Picha iko wapi?

Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa
Bila kusahau unique features za huo unene pamoja na kwamba tulishaziona kwenye commital
 
Pia asifikiri kuwa JF ni mama yake kwamba itampa kitu ambacho hakuomba. Bila kusahau kuwa kuweka mkokoteni kabla ya farasi ni kosa!
Picha iko wapi?

Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…