Mke wa huyu mkulungwa ana kazi sana, kapata mwanaume ambae niseme tu kweli msela hajitambui! Yaani threads zake nyingi huku ni za kuhusu mambo yake na mkewe tu yaani mpaka mishe za chumbani analeta huku...
Mkeo akijamba unamfungulia sredi.
Mkeo akikojoa bahati mbaya kitandani unamfungulia sredi.
Mkeo sijui ana kovu tumboni tayari unaanda sredi.
Mkeo kanenepa unaleta sredi.
Asaiv unasubiria akonde napo ulete sredi..
Aiseee unatudharirisha sana wanaume, hasa wanaume wenzio waliooa unawaabisha sana, tunaonekana wanaume wa sasahivi tuna mambo ya umbea umbea wakati sivyo ila wapuuzi kama ww tu ndiyo mnachafua majority yetu.
Mkuu familia yako haina challenges zingine za kimaisha mbali na mambo yenu ya chumbani ya kukaliana mara sijui alikukamulia maziwa mdomoni, ambazo unaweza kuleta hapa zika discussiwa? Make naona kama muda mwingi ww na mkeo mnashinda ndani kutafuta thread, kwani huna miradi na haipati challenges hiyo miradi ulete tu discuss?
I'm sorry lakini_____________
My bad [emoji1751]