Hiyo ibada mkaifanyie huko huko kwenu mkuu kwangu hapana😂😂Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.
Uamzi ni wako mkuu.
Inakera kweli. We fikiria demu anatoka huko kaloweshwa mishahaw halaf nawe usiku unaogelea mishahawa ya wanaume wengine. Hii kama sio nuksi ni nini. Unamwambia EL ELYON anajazwa upepo wewe unaona mke ana ujauzito halafu bado anachati na mwanaume mchepuko hiyo imekaaje. Ndio maana zamani walipigwa mawe.Hehehehe...we unajazwa upepo humu shauri yako[emoji848]
Yaani vijana wa siku hizi ndipo mnapofeli na wanawake walishajua udhaifu wenu ulipo. Wewe umekuta sms na ukachati na dume halafu anakudanganya shemeji yake. Bado unatafuta ushahidi. Umpelekee nani? Maamuzi ni yako, kama ni kusamehe au kufukuza. Vijana mnatuabisha sana wanaume.Yani wewe akili yako ya upelelezi ni 0.... Ilitakiwa utengeneze full picture ambayo hawezi ruka
Unamwita wa nini sasa. Kwani ndiye kakulipia mahali? Anakuhusu nini kwani yeye alibaka mkeo? Huu ukosefu wa hekima sijui mnautoa wapi😂.ikiezekana hadi umwite mshikaji na aje then unamwaga huyo mwanamke mazima.. umeharibu ushahd yani
R.I.P Said aisee mwamba alichokifanya kuna wapuuzi wanamlaumu, kwangu mimi jamaa yuko sawa asilimia zote.R I P mwamba Said wa Mwanza
Haujawajua wanawake bado wewe!Sisi ni binadamu tumeshauriwa kusamehe kama nasi tunavyohitaji msamaha wa makosa yetu.
Ni mwanzo mzuri kama ameomba msamaha wa machozi muache aende baada ya muda karibu kujifungua kamachukue mtoto azaliwe mikononi mwako namaanisha chini ya uangalizi wako.
Lakin muonye asirudie tena maana akirudia yatakua mengine na umwambie kwamba hakunaga siri duniani siku za mwiz arobaini msisitize pia mueleze madhara ya kuchepuka hasa issue ya magonjwa.
Nasisitiza msamaha ni muhimu maana Yesu ametuamuru japo inauma lkn hakuna namna.
Akija rudia ndo red card, waswahili wanasema kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa.!
Shinda jaribu hilo kiongoz.!
Bila shaka wewe ni karibia sawa na hiyo mke wa jamaaKupanic kwako kumekukosesha ukweli wote. Mtu ametuma meseji, unamuuliza wewe nani; anakujibu mimi fulani. Hivi kweli kama ni watu ambao wanawasiliana kila siku, ungemuuliza yeye ni nani si lazima angeshtuka? Hadi anamuomba picha, Ina maana hana picha zake, right? What if baada ya zile chats za wasap ndiyo akaamua kumpigia mkeo?
Shida ni kwamba ulikurupuka; ungetulia nina uhakika ungepata majibu sahihi. Bila shaka ni ex wake, lakini alikuwa ex wa muda gani? What if walishaachana kitambo huko na mwanaume ndiyo amenza kumtafuta sasa hivi?
Usifuatishe mkumbo wa wanaume wa JF; humu wao wanawake hawawasumbuagi, wanafukuza tu. Usijefanya maamuzi kwa hasira na ukawa umemuonea huyo mzazi mwenzako mtarajiwa na mtoto wenu; baadaye ukaja kujuta. Punguza hasira, utapata wakati mzuri wa kudigest hili. So far sijaona ushahidi wowote kuwa mkeo amechepuka na huyo mwanaume akiwa kwenye mahusiano na wewe.
Mkuu labda umenielewa vibaya,ila mimi nimesema kwa hivyo vielelezo,hapa namaanisha hata hizo sms tu zinatosha kufanya maamuzi magumu.Ninyi watu wa siku hizi mmekuwa wa ajabu sana. Kwa hiyo huo ushahidi anakusanya ili nani autumie kama sio yeye. Yeye ndiye mwenye maamuzi yaani mpelelezi na hakimu. Hata hiyo sms tu bila hata kumuuliza maswali mwanamke inamtosha kufanya maamuzi akitaka. Zaidi ya hapo unataka kudanganywa na ndio hapo wanaume vilaza hushindwa.
Ndiyo mimi mwenyeweBila shaka wewe ni karibia sawa na hiyo mke wa jamaa
Ila ninyi wanawake hamjuwi uchungu wa kutomb..ewa kwenye mada kama hizi ni bora mngekaa kimya, mwanamke akiwa msaliti huyo ni sawa na nyoka ndani ya nyumba.Hawa watoto wa kike ni kama wana shida eti eeh.
By the way, msamehe.
Why kimya, even wanawake hatupendi kusalitiwa.Ila ninyi wanawake hamjuwi uchungu wa kutomb..ewa kwenye mada kama hizi ni bora mngekaa kimya, mwanamke akiwa msaliti huyo ni sawa na nyoka ndani ya nyumba.
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.
Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....[emoji848]
pole Sana mkuu.Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Pole Sana haya Mambo yanauma Sana kakaUroda unaliwa kwa siri uwenda jamaa anajilia kwa siri bila mi kujua watu wanasafiri masafa kufata uroda ukizngatia mi huwa nasafiri kikazi hata wiki uwenda njemba ilishakuja huku ikalamba asali