Mke wangu ameniacha njiapanda

Nakuelewa sana mkuu sitoi nafasi ya kusikiliza chochote kile si likizo tu nafikiria aende jumla.
 
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.

Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....🤔
 

Kama nyie sio wanaume msioe, hapa unataka ushauri wa nini sasa? Mke unapigiwa huyo!
 

Yohane 8:3-11 BHN​

“Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati. Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.”] (YN. 8:3-11)
 
Unalalaje nyumba Moja na mtu ambaye anajua Yuko hatua Moja ya kutengana na wewe huogopi kudhurika? Kwa chakula au hata kumwagiwa maji ya moto
 
Wanawake ni dada, wake, bibi, shemeji, michepuko na mama zetu hivyo mienendo yao haiko kwenye mstari mara nyingi. Cha msingi, utulie, upate ukweli alafu ufanye maamuzi.

Kuna maboya wengine hawana nidhamu, ndiyo maana tukiwafuma na wake zetu tunatatua marinda yao .
 
Imeandikwa tuache mke kwa dhambi moja tu ya uasherati na si vinginevyo....huyo mwanamke hapo hakuwa mke wa mtu ila walifanya umalaya tu sjui kama unalijua hilo.

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Mathayo 5:32
 
Tatizo ni yeye kuendelea kuwasiliana naye kama kweli jamaa ndiye msumbufu why asiniambiye mapema na nilipouliza akadanganya sa hapo utamlaumu vp mshikaji.
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..
 
Tatzo ni yeye kuendelea kuwasiliana naye kama kweli jamaa ndiye msumbufu why asiniambiye mapema na nilipouliza akadanganya sa hapo utamlaumu vp mshikaji.
Mpe the benefit of doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
 
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo
Kama uko safi yaani wewe unejitoa kwake halafu yeye anazingua kiasi hicho, mwache aende kabisa ili akili ikamkae sawa huko mbele.
 
Mpe benefit of the doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
Uroda unaliwa kwa siri uwenda jamaa anajilia kwa siri bila mi kujua watu wanasafiri masafa kufata uroda ukizngatia mi huwa nasafiri kikazi hata wiki uwenda njemba ilishakuja huku ikalamba asali
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..
Shida ni mke wangu kuendelea kumpa nafasi ya kuwasiliana naye hapo tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…