Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Moja kati ya sifa za uanaume ni uwezo wa kuficha hisia zao za kweli kwa muda fulani hata kama inauma, sasa hapo umeshaanda mazingira ya wao kukubaliana na utaingizwa kingi ukija kutaka maelezo baadae.

Pale ulitakiwa uandae kila ushaidi ikiwa ni pamoja na kuendelea kuchati na huyo jamaa kiasi kwamba wakati unamuuliza hata hilo swala la yeye kusema "jamaa kaamua kujiandikia isingewezekana", na wakati unalianzisha ulitakiwa ulifikishe mwisho bila kumpa wakati wa yeye kukaa na kutunga namna ya kuja kukudanganya.

Kwasasa usije kusikiliza chochote atakachokwambia na hata huyo jamaa usimtafte atakuwa kampanga tayari,Mpe likizo huyo mwanamke.
Nakuelewa sana mkuu sitoi nafasi ya kusikiliza chochote kile si likizo tu nafikiria aende jumla.
 
Unless kama ulimuoa akiwa na bikra zake mbili, ila hawa wanawake waliokula mileage kuna namna ya kukaa nao. Kama haja cheat wakati mkiwa kwenye ndoa tullia tu. Pengine huyo boya anasukumwa na nyege zake kutongoa mke wako na penzi hajapewa baada ya ndoa. Usifanye maamuzi ukiwa na hasira, endelea ku uncover information mpaka mwisho.
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.

Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....🤔
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔

Kama nyie sio wanaume msioe, hapa unataka ushauri wa nini sasa? Mke unapigiwa huyo!
 

Yohane 8:3-11 BHN​

“Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati. Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.”] (YN. 8:3-11)
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Unalalaje nyumba Moja na mtu ambaye anajua Yuko hatua Moja ya kutengana na wewe huogopi kudhurika? Kwa chakula au hata kumwagiwa maji ya moto
 
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.
Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....🤔
Wanawake ni dada, wake, bibi, shemeji, michepuko na mama zetu hivyo mienendo yao haiko kwenye mstari mara nyingi. Cha msingi, utulie, upate ukweli alafu ufanye maamuzi.

Kuna maboya wengine hawana nidhamu, ndiyo maana tukiwafuma na wake zetu tunatatua marinda yao .
 

Yohane 8:3-11 BHN​

“Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje? Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati. Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.”] (YN. 8:3-11)
Imeandikwa tuache mke kwa dhambi moja tu ya uasherati na si vinginevyo....huyo mwanamke hapo hakuwa mke wa mtu ila walifanya umalaya tu sjui kama unalijua hilo.

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Mathayo 5:32
 
Wanawake ni dada, wake, bibi, shemeji, michepuko na mama zetu hivyo mienendo yao haiko kwenye mstari mara nyingi. Cha msingi, utulie, upate ukweli alafu ufanye maamuzi.

Kuna maboya wengine hawana nidhamu, ndiyo maana tukiwafuma na wake zetu tunatatua marinda yao .
Tatizo ni yeye kuendelea kuwasiliana naye kama kweli jamaa ndiye msumbufu why asiniambiye mapema na nilipouliza akadanganya sa hapo utamlaumu vp mshikaji.
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..
 
Tatzo ni yeye kuendelea kuwasiliana naye kama kweli jamaa ndiye msumbufu why asiniambiye mapema na nilipouliza akadanganya sa hapo utamlaumu vp mshikaji.
Mpe the benefit of doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
 
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo
Kama uko safi yaani wewe unejitoa kwake halafu yeye anazingua kiasi hicho, mwache aende kabisa ili akili ikamkae sawa huko mbele.
 
Mpe benefit of the doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
Uroda unaliwa kwa siri uwenda jamaa anajilia kwa siri bila mi kujua watu wanasafiri masafa kufata uroda ukizngatia mi huwa nasafiri kikazi hata wiki uwenda njemba ilishakuja huku ikalamba asali
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..
Shida ni mke wangu kuendelea kumpa nafasi ya kuwasiliana naye hapo tu....
 
Back
Top Bottom