Mke wangu ameniacha njiapanda

Nakuelewa sana mkuu sitoi nafasi ya kusikiliza chochote kile si likizo tu nafikiria aende jumla.
Kikubwa ujue kama aliliwa na huyo jamaa kabla haujamuoa, au ukiwa nae tayari.
 
Mkuu, kumbuka tu kuwa matukio ya kuuana hasa wanandoa na wapenzi yamekuwa mengi sana.

Kuwa makini katika maamuzi yoyote unayifikiria kufanya.
Kweli hasije akaleta mambo ya 7 bullets in the head
 
Wakati unamuoa ulimkuta bado "bikra" au alikuwa tayari ni "used"?

Kama alikuwa bikra mwache aende zake maana tayari amekusaliti na ameshaonja ya nje hawezi tena kutulia.
Lakini, kama ulimkuta ni "used"basi wewe vumilia tu, msamehe maisha yaendelee maana hata kabla yako wewe alishatumika na ulikubali kuoa kilichotumika.
 
#KuchapiwaHakuepukiki [emoji419][emoji419][emoji419]
#KitandaHakizaiHaramu [emoji419][emoji419][emoji419]
#Kuchapiwanisiriyandani [emoji419][emoji419][emoji419]

Ukizingatia hizo tags hapo juu utaishi kwa amani sana. Hakuna kitu utaweza fanya kwa mwanamke anayetaka kukazwa nje. Hakuna!

Ni ama usuke...au unyoe...
 
Usikilize nini tena jamaa ameshasema amemiss mambo yake ya kitandani inawezekana pia alishawahi kumtumia picha ya mbuye yake.
 
Kabla sijasoma coment yyte wewe n dhaifu,,umeshindwa kupiga kofi moja zito la shavu?kofi haliui mtu mkuu.
 
Reactions: 10k
Mwanamke Kama hujamtoa bikra changamoto sana kuna waliopita nae huko nyuma usije ukamaliza mtu ndo matatizo hayo ya ndoa vumilia au mpe kadi nyekundu asepe

Usimpige kwa mikono utajutia mpe hata pesa bandia akapigwe sokoni
 
Ndoa Yako inamiaka mingapi na meshapata watoto wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…