Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kikubwa ujue kama aliliwa na huyo jamaa kabla haujamuoa, au ukiwa nae tayari.Nakuelewa sana mkuu sitoi nafasi ya kusikiliza chochote kile si likizo tu nafikiria aende jumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa ujue kama aliliwa na huyo jamaa kabla haujamuoa, au ukiwa nae tayari.Nakuelewa sana mkuu sitoi nafasi ya kusikiliza chochote kile si likizo tu nafikiria aende jumla.
Sio rahisi unavyowaza ndugu yanguKwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?
uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Hapa umeongea Vizuri utakua umepitia jandoKm unaweza, nsamehe kutoka moyoni na maisha yaendelee. Wote wanakuambia umuache wao mbona hawasemi wameacha wangapi? Samehe na maisha yasonge mbele ..angekudaka ww Wala asingekuacha
We achana naye, mapema tu keshaonyesha dalili kuna hatari huko mbeleni.Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?🤔
Za mwizi ni 40 inaonekana wameanzana siku nyingi coz mchezo ukisha kolea uzembe wa kutinza siri ndio hutokea.Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Kweli hasije akaleta mambo ya 7 bullets in the headMkuu, kumbuka tu kuwa matukio ya kuuana hasa wanandoa na wapenzi yamekuwa mengi sana.
Kuwa makini katika maamuzi yoyote unayifikiria kufanya.
Usikilize nini tena jamaa ameshasema amemiss mambo yake ya kitandani inawezekana pia alishawahi kumtumia picha ya mbuye yake.[emoji848] Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.
Hiyo mimba inaweza isiwe yako mkuu. Hilo nalo kuwa nalo makini usije ukalea ukiamini mtoto ni wako kwa 100% ukitarajia ni mtoto wako bali lea ukiamini mtoto ni wako kwa 50%Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Nimemshauri kulingana na experienceSio rahisi unavyowaza ndugu yangu
Kabla sijasoma coment yyte wewe n dhaifu,,umeshindwa kupiga kofi moja zito la shavu?kofi haliui mtu mkuu.Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Ndoa Yako inamiaka mingapi na meshapata watoto wangapi?Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Wapashe kiporo? Kwani una uhakika wameshaachana? inawezekana wewe ndiye umeingilia penzi laoWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
J
Wanaume tunaojiamin hatukuwepo kwenye hiko kikao... Kutoshika sim ya mti wako huo ni uoga wa kijinga... Na huenda mwanamke anakutawalaHaukuwepo kwenye kikao chetu wanaume tulikubaliana hakuna kushika simu ya mwanamke wako na yeye asishike yako
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Maana yake bado anampenda.Shida ni mke wangu kuendelea kumpa nafasi ya kuwasiliana naye hapo tu....
Utafanyaje ili upate uhakika kama kweli aliliwa au la? Yupe udhoefu.Kikubwa ujue kama aliliwa na huyo jamaa kabla haujamuoa, au ukiwa nae tayari.