Mke wangu ameniacha njiapanda

Unajua mkuu shida ya mwanamke ni moja jinsi unavyozidi kumsamehe kwa makosa makubwa anayokufanyia ndo jinsi anavyozidi kukuona fala na kuamini kuwa wewe ni dhaifu sana kwake na kivyovyote vile huwezi kumuacha na malipo atakayokupa ni kukufanyia visa vingine vikubwa sana vya fedhehea hata achana na huyo bwana Ila watapanga jinsi na njia nyingine salama ya kuwa pamoja na katika maongezi yao watakupa cheo cha bwege.

Ukiona uko na mwanamke kwenye mahusiano lakin mwanamke huyo bado Yuko na mahusiano mengine tena ya nyuma ujue kwako pengine kafata maslahi tu, na Kama ana wengine wapya huyo ni changudoa kumbuka kunguru hafugiki
 
Huyu ima kama namjua kabisa, ww na bibie mnaishi ukanda gani wa Tz,
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..
Wanawake wachache huwa wamaliona hili.
 
Nakukubali mzee wa kutokupindisha pindisha mambo.

Ni kweli hakuepukiki wawe imara basi katika kutunza siri.

Shimba ya Buyenze. Ni bora mwizi aje aibe kila kitu ndani ya nyumba yako utavumilia ila suala la kuchapiwa linauma sana hata uwe kombandoo mbobezi roho itauma tu na ukiwa mwepesi uta pull triger to release 7 bullets to meet the meat
 
.....kwa kuwa umesema hujafunga naye ndoa; kama ningekuwa mimi NINGEMWACHA AENDELEE NA IMA


Yesu aliwaambia wanafunzi wake "Bali mtu asimwache mke wake isipokuwa kwa sababu za uasherati"

mke akishaanza uasherati hiyo ndoa inakuwa haiunganiki tena kwa kuwa HAWEZI KUACHA.
 
Kwa situation ilivyo na kwa uzoefu wa mabaharia wastaafu mkeo kweli alishaliwa na mwanamke kuvuliwa chupi awamu ya kwanza ndio inakuwaga tabu ila muendelezo huwa hauhitaji hata kijiko cha Glucose.

Jamaa atamvuta vuta kwa sound na lazima atamgonga tu mwishoni. Mwanamke ambaye anafanya huo mchezo ni hatari sana. Kuna uwezekano mkubwa ukakuta hata hio mimba unayolea ni ya huyo fedhuli.
 
Viatu vyako vinanipwaya mkuu, iyo mimba nayo umepigwa hahahahaaa alooo kumbe watu wanaua ivi ivi ,mwenzio akiend kwa ima anpigwa pipe uku dole gumba lipo kwa kinyeo hahahaa alooohhh
😬😬😬 Tena wajamaa ambao wanajua demu ake alishaolewa huwa wakiwapata tena huwa si kuwatia dole tu hata kifiro kitatokea maana hawanaga cha kupoteza kbs maana anajua ni mke wa mtu na unakuta mkeo ananogewa kabisa.
 
Na atamgonga tu ni swala la muda huo uzoefu mi pia ninao.
 
Bikira 2 🤔 mmmh za wapi hzo si huwa ni moja tu
 
Utafanyaje ili upate uhakika kama kweli aliliwa au la? Yupe udhoefu.
Ndomaana mwanzoni nilisema jamaa alikosea kupanick mapema kwenda kumuuliza mke wake afu akamuacha bula kufikia muafaka, hii itampa fursa ya kujipanga na kumnyima yeye fursa ya kuujua ukweli.

Alipopata nafasi ya kuchati ningekuwa mimi, aliposema kamiss mambo ya mke wangu ningemuuliza swali moja tu ili nijue kama alitembea nae nikiwa nae kwenye ndoa au zamani.

"Emma kama kweli umenimiss na hauwezi kusahau mambo yangu,nambie tumesex lini mara ya mwisho tuone kama unanikumbuka kiasi hicho"😂

Hapo jamaa angapata jibu ambalo lingemtuliza au kumpandisha na presha, mara jamaa anasema JANA😄.

Kwasasa hawezi kujua kitu kwasababu alipanick kijinga na kumpa mke wake nafasi ya kusawazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…