Mke wangu ameniacha njiapanda

[emoji51][emoji51][emoji51] Tena wajamaa ambao wanajua demu ake alishaolewa huwa wakiwapata tena huwa si kuwatia dole tu hata kifiro kitatokea maana hawanaga cha kupoteza kbs maana anajua ni mke wa mtu na unakuta mkeo ananogewa kabisa.
Hehehehe...we unajazwa upepo humu shauri yako[emoji848]
 
Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.

Uamzi ni wako mkuu.
 
Sijui tutapata wapi mtu sahiii wa kuoa.
 
Usipooa bikra ujue umeliwa, hujui ameshapita kwa wanaume wangapi?..yaani nikianza kufikiria jinsi wadau wanavyosimamia ukucha unajikuta unahairisha kuoa.
 
Shida sio kusamehe mkuu, shida atatulia baada ya kusamehewa, huyo emma anaonekana anaujua udhaifu wa huyo demu kutokana na jinsi anavyofunguka kwenye sms, demu ashakuwa maharage ya mbeya kwa emma, jamaa ashamzoea demu ndo maana ana confidence ya kuomba mzgo kirahisi
 
Pga chini isje ukawa unalea mimba ya ima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…