jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Yeye hajaoa au haitakiwi kuishi nao pamoja kama mke lakini hatuwaoiKama nyie Sio wanaume msioe, hapa unataka ushauri wa nini sasa? Mke unapigiwa huyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye hajaoa au haitakiwi kuishi nao pamoja kama mke lakini hatuwaoiKama nyie Sio wanaume msioe, hapa unataka ushauri wa nini sasa? Mke unapigiwa huyo!
mama kubwaMsamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.
Ni kweli BT HAJAOMBA MSAMAHA KABISA AS IF HAKUNA KILICHOTOKEA TUPO TUNAANGALIANA TU.Msamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.
Am a man bro....💪Binafsi Mwanamke akiwa tu na kiburi, Jeuri, hasikiiii au wale wa kila kitu mabishano huwa naacha siku hio hio,,,,na sijawai fikiri ni uamuzi Mgumu kuacha Mwanamke.....
Wewe Mkeo analiwa nje,,na umejiridhisha kabisa... KUMUACHA ndio the only option ambayo ni sahihi,,,, BUT unaweza kumsamehe pia kutokana na imani yako,,namna mnavyoishi na ukubwa wa kiwango chako binafsi cha Uvumilivu,,,,,kwa maana tunaweza kukushauri UMUACHE halafu ukashindwa ku-handle stress baada ya kumuacha ukaishia Kujinyonga,,sonona,presha n.k...kumbuka: (Kuacha ni kwa Wanaume timamu na waliokomaa ki-Maamuzi tu,,Weak men don't try this at home)
Mwisho kabisa,, Ile Sauti uisikiayo ndani ya Moyo wako ndio inaitwa UKWELI,,,,hivyo basi Lolote utakaloamua kwa kusikiliza hio sauti litakuwa ni sahihi LAKINI kuachana nae huyo Mwanamke ni sahihi zaidi...
Be a Man, Stay Taliban.
Nakubali mwamba....💪Hii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za
Amsafirishe kwenda Omani tukwa namna yoyote ile muache huyo mwanamke kuepusha mambo ya kuuana
Imeandikwa tuache mke kwa dhambi moja tu ya uasherati na si vinginevyo....huyo mwanamke hapo hakuwa mke wa mtu ila walifanya umalaya tu sjui kama unalijua hilo.
32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Mathayo 5:32
Nipo cool kbs hata msosi akipika sili napika mwenyewe mi namcheck tu.....kashajiliza weee mi kama simuoni vile.Dah mkuu kwanz pole naelewa unalopitia...sasa huyo endelea kumchunia hvyo hvyo we fanya mambo yako tuu.
Nunua bastora halafu iweke sebuleni, ndiyo dawa yaoWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Anaamini huwezi mfanya kitu....hio ni kwa sababu mpaka sasa umeshindwa chukua hatua.Ni kweli BT HAJAOMBA MSAMAHA KABISA AS IF HAKUNA KILICHOTOKEA TUPO TUNAANGALIANA TU.
USIKU HUU ANANIULIZA KAMA HATUWEZI ELEWANA NISEME MI NIMEJIBU SINA CHA KUELEWANA NAYE CHOCHOTE KILE NA NJIA NI NYEUPE KWAKE KWA LOLOTE KISHA NIKANYAMAZA. 😷🤐
wana matundu mengi, we kagua kagua, utajua tuBikira 2 🤔 mmmh za wapi hzo si huwa ni moja tu
Manyoya hayo baby keshaliwa huyoWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Endelea kukaa nae ili uje uanze kumeza mbolea ukiwa bado kijanaWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

KAZI Sana kukaa na Malaya kwenye ndoa Bora kuwa singleAnaamini huwezi mfanya kitu....hio ni kwa sababu mpaka sasa umeshindwa chukua hatua.
Kabisa aisee kwanza utaishi nae kwa stress sana kmmmk, hawa sio viumbe wa kuvumilia hata kidogo mbwa kabisa hawa.KAZI Sana kukaa na Malaya kwenye ndoa Bora kuwa single