Mke wangu ameniacha njiapanda

Msamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.
mama kubwa
Asiyekubali kushindwa ndio mshindani,,,anayekubali kushindwa alishindana kwa faida gani...??-kalapina.

UGOMVI wa mtaani hadi mawe huwa yanahusika,,,hvyo unatakiwa uyagawe kiuhakika,,,ili hata kesho ukipita huo mtaa kuwe na sifa kuwa Mawe yanatisha....

Nikimaanisha,,

Mleta uzi akishindwa kuacha basi inabidi ampe kashikashi Mke wake,,,, asitoe msamaha kizembe zembe...ili mke ajue hilo swala likijirudia basi yatamkuta ya yule Dada wa Mwanza
 
Msamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.
Ni kweli BT HAJAOMBA MSAMAHA KABISA AS IF HAKUNA KILICHOTOKEA TUPO TUNAANGALIANA TU.
USIKU HUU ANANIULIZA KAMA HATUWEZI ELEWANA NISEME MI NIMEJIBU SINA CHA KUELEWANA NAYE CHOCHOTE KILE NA NJIA NI NYEUPE KWAKE KWA LOLOTE KISHA NIKANYAMAZA. 😷🤐
 
Tatizo huuzulii vikao vya wenzako
Walikubaliana kuwa samehe na sahau
 
Am a man bro....💪
 
Hii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za kimapenzi, mimi kipindi niko zangu Morogoro kwenye mihangaiko jamaa zangu Mwanza walinicheki hewani, wakanambia bro muenendo anaonesha shemeji yetu hauridhishi na unawapa mashaka, nikawaambia elezeni yote mliyoyaona.

Na mimi machale yakaanza kunicheza huwa kila nikichati nae usiku ikifika saa tatu anajifanya amechoka anataka kulala kumbe ndio ulikuwa muda wa kuonana na hawala yake, baadae ukimpigia simu kuanzia saa nne na kuendelea huwa hapatikani hewani, asubuhi ukimuuliza anakwambia simu iliishiwa chaji.

Basi bhana siku moja hawala yake alimfata ili waende klabu usiku, kumbe yule bodaboda aliyewabeba ananifahamu vema na ana namba yangu ya simu, alipowashusha tu maeneo ya Villa Park pale kirumba jamaa akanicheki hewani na kunieleza ABC, palepale nilimpigia wife simu hakupokea kisha akawa amezima simu, kmmmk nilimuandikia sms za kufahamu kila kitu asubuhi alipowasha simu akakutana nazo akajidai kunipigia sikupokea simu yake.

Huwa sipendi ufala ktk mahusiano yule maku nilimuacha kabla hata ya kufika Mwanza, wanaume lazima tuwe na maamuzi magumu kmmmk usiogope kuumia moyo kwani moyo hautouma milele.
Mimi ushauri wangu jamaa anatakiwa apige chini huyo mbwa akiendelea kuishi nae atakufa mapema mana tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili. Nasema piga chiniiiiiiii mbwa huyo.
 
Nakubali mwamba....💪
 

Ila uzinzi sio uasherati ni tofauti kabisa[emoji23]
 
Dah mkuu kwanz pole naelewa unalopitia...sasa huyo endelea kumchunia hvyo hvyo we fanya mambo yako tuu.
Nipo cool kbs hata msosi akipika sili napika mwenyewe mi namcheck tu.....kashajiliza weee mi kama simuoni vile.
Mpuuzi sn kuna maagizo huwa nampa hapa home hafanyagi leo nmerudi jioni nmekuta kafanya kila kitu

Anajua napendaga karaga za kukaanga nazo nimekuta kama zote kakaanga sjala hata karanga moja nampimia tu.😬😬😬😬😬😬
 
Nunua bastora halafu iweke sebuleni, ndiyo dawa yao
 
Anaamini huwezi mfanya kitu....hio ni kwa sababu mpaka sasa umeshindwa chukua hatua.
 
Manyoya hayo baby keshaliwa huyo
 
Endelea kukaa nae ili uje uanze kumeza mbolea ukiwa bado kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…