Mke wangu ameniacha njiapanda

Dah pole sana bro.. hawa viumbe sio wakuwaamini mpaka mwisho wana mambo mengi sana.. ukimchunguza haukosi kumkuta na kasoro kama izo. Pia maamuzi ni juu yako wewe mwenyewe maana we ndounaijua vzuri zaidi nyumba (familia/mke) yako vizuri zaidi kuliko sisi.
 
Oya jibu hapo ni kumpiga chini tu kmmk hakuna haja ya majadiliano hapo akimsamehe tu tayari ametengeneza sumu huwa napendaga sana mwanamke akiwa anajuta kwa makosa yake mwenyewe ya kujitakia, huyo ni malaya hapaswi kuwa nae fukuza mbwa huyo.
 
Nonsense
 
Kabisa aisee kwanza utaishi nae kwa stress sana kmmmk, hawa sio viumbe wa kuvumilia hata kidogo mbwa kabisa hawa.
Mkuu kama nakuona vile ulivyo na uchungu na hawa viumbe. Wameangusha wafalme na watu wakubwa kbs ambao Mwenyezi Mungu Aliwaamini ila kiumbe aitwaye mwanamke aliwakalisha.πŸ˜ͺ
 
Oya jibu hapo ni kumpiga chini tu kmmk hakuna haja ya majadiliano hapo akimsamehe tu tayari ametengeneza sumu huwa napendaga sana mwanamke akiwa anajuta kwa makosa yake mwenyewe ya kujitakia, huyo ni malaya hapaswi kuwa nae fukuza mbwa huyo.
Hata ingekuwa mimi ningempiga chini mchana kweupeeee.. ila sijajua mwanetu ana iyo roho?? Mana hatujui anapewaga vipiπŸ˜…
 
[emoji23][emoji23] huyo demu anakudharau kinoma halafu anakumudu,yani ameulizajeee??? Khiiiiiii.
 
Ndomaana mwanzoni nilisema jamaa alikosea kupanick mapema kwenda kumuuliza mke wake afu akamuacha bula kufikia muafaka, hii itampa fursa ya kujipanga na kumnyima yeye fursa ya kuujua ukweli.
Hahahahah we jamaa bhana
 
Inawezekana ni bwana wake wa zamani kwahiyo wanaendeleza gurudumu,chakufanya mbadilikie huyo mwanamke,ajue other side of you na aelewe kwamba haupendagi ujinga,ukiona kweli umejutia kosa lake msamehe hatarudia tena,akileta kiburi basi jiongeze tu hamtakuja kuwezana
 
Case ni ngumu ila kwa kuwa hujamuoa, msamehe tu.
 
Bado upo nae tu. Mbona unazubaa mkuu. Fanya maamuzi sahihi. Kwa faida yako na kwa usalama wako wa kiafya, kiakili, na hata kiimani na kiuchumi na malengo mengine naona umwage zege hilo maisha yaendelee. Akili ikuongoze na sio hisia za mwili
 
Hivi wewe jamaa unafahamu uchungu wa kugongewa? Sisi ni Wanaume tumsaidie mwezetu kumpa ushauri wenye kufaa sio suala la kusamehe mwanamke kwenye uzinifu, yaani nitomb..ewe mwanamke na ushahidi upo halafu uniletee habari za msamaha kwanza nitaanza na wewe unayeshauri msamaha kmmmk.
 
Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?

Uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Kuachana Kama ndiyo rais namna hii
Dunia isingekuwa na ndoa hata moja
 
Tafuta bastola hata feki halafu anza kuifuta futa hapo sebuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…