Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
mkuu tafuta pesa katengeneze kioo kisha chunguza simu yake. ukishindwa weka track app ya kufatilia ndani y week ina record mpak sauti wewe unatulia na pc yako
 
Sasa bro mbona unaongea nonsense huyo jamaa yako hakuowa mke huyo aliowa changudoa how come apelekwe polisi kwa kukamatwa uzinzi usiku huo huo yaani chini ya 24hrs agawe tena nyapu yaani chini ya saa 24 ameshachomekwa nyama ngumu mbili tofauti tofauti so kabisa kabisa unataka umma hapa useme huyo nae alimpenda sana huyo mwanamke?

Huyo alikuwa pimbi siyo mwanaume!
Katika ndoa ukifuatilia karibia 90% ya wanawake wamewasaliti waume zao wengine waume zao wanajua na wengine hawajui, kwahiyo kama unataka mwanamke ambae hachepuki au hajawai kuchepuka huwezi kuoa ndugu yangu.
Kwahiyo suala la kuamua kuishi na make wako baada ya kumfumania au kuhisi anachepuka ni uamzi wa mtu mmoja mmoja itategemea hiyo mwanamke anayo nafasi gani katika familia.
 
Hivi wewe jamaa unafahamu uchungu wa kugongewa? Sisi ni Wanaume tumsaidie mwezetu kumpa ushauri wenye kufaa sio suala la kusamehe mwanamke kwenye uzinifu, yaani nitomb..ewe mwanamke na ushahidi upo halafu uniletee habari za msamaha kwanza nitaanza na wewe unayeshauri msamaha kmmmk.
Wanaume wote tungekuwa na moyo wa kishujaa namna hii malaya wangenyooka
 
Hakufai huyo, usikute hata mimba sio yako.itisha kikao mkabodhi kwa ndugu zake

Once a cheater is always a cheater
 
Katika ndoa ukifuatilia karibia 90% ya wanawake wamewasaliti waume zao wengine waume zao wanajua na wengine hawajui, kwahiyo kama unataka mwanamke ambae hachepuki au hajawai kuchepuka huwezi kuoa ndugu yangu.
Kwahiyo suala la kuamua kuishi na make wako baada ya kumfumania au kuhisi anachepuka ni uamzi wa mtu mmoja mmoja itategemea hiyo mwanamke anayo nafasi gani katika familia.
We jamaa una logic ya kifala sana,yaani asamehe/tusamehe kisa 90% ya wanawake ni wachepukaji? Hivi unajua maumivu ya kuishi na mwanamke ambae unajua alishawahi kukucheat? Unatoa shauri na reasons za kiboya Sana.
 
mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatari
 
[emoji848] Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.
huyo mwanamke hakufai, achana naye halaka sana yaani hakufai fanya maamuzi sasa...
 
mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatari
Hii tabia yenu ya usawa ndo inawafanya msiolewe na masingo maza kuzidi kuongezeka. Hivi kwenye vitabu vya dini ni wanaume au wanawake waliokua na mke au mume zaidi ya mmoja?
 
Hii ni part 2
Mbona kama hii ya zaman hv japo muandishi ni yule yule[emoji780][emoji848]
Af huko muhusika mkuu ana mtoto kabsa anayetambua au mi ndio sielewi hapa [emoji2375]

Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Pole sana jamaa, mkanye au mpe likizo ya wiki 2 ila usimwambie kwamba atarud.
Ila onesha heavy reaction sio kitoto.

Baada ya hapo mrudishe mpe onyo kwamba akirudia tena ni re card moja kwa moja.

Msamehe usimuache moja kwa moja ukizingatia ana mimba yako pia ukimuacha itakua fedhea sana kumbuk muha nae ulimuacha jamii itakuona wewe ndo unashida.

Usione wazee wapo kwenye ndoa wanavumiliana na kusameheana mengi.
 
Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.

Mimba ni ya nani sasa!? Au ndio kitanda hakizai haramu

Haya mambo ya kutaka ndoa huku unataka kuchepuka yana hatari sana. Ifike mahala mtu aamue moja
 
mbona ww ukicheat anakusamehe? na anakuwa anajua na zile msg kaziona? ama unajikuta nani vile? kwamba ww mkamilifu hatari
Comrade wewe kama ni Me basi hujawahi kupatwa na maumivu ya kutomb..ewa au pengine wewe ni mario kaa kimya hujuwi uchungu wa kutomb..ewa. Mwanamke akishakusaliti huyo ni nyoka ndani ya nyumba.
 
Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hiyo mimba ni yako au ya Ima
 
Anaomba msamaha kivitendo mke wako ni mafia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mda atakudaka na utatulia tuliiii
 
Hzo ni tafsiri zako bt zpo Bible ukisoma zmeandka uzinzi zingne uasherati so we amini unavyoamini mkuu.

Sjapinga kitu hapo kimaana ....nachomanisha ni kuwa mtu akiwa muasherati ni mbaya sana kuliko mzinzi.sasa kama bible inaruhusu tuache wake kwa kosa la uzinzi basi akiwa muasherati ndo unafaa kumkimbia kbsaaaa
 
Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Tena ukute mimba siyo yako, bali ya Ima au ya mwingine 🤔
Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?

Uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Nakazia ✍️✍️✍️
Maana huyo ni kahaba!
 
Pole mkuu.
Kuna wimbo mmoja wa Ambwene unaitwa "nguvu ya kujua".
Ni vitu vingi hatuumii juu yake kwa sababu hatuvijui. Ila siku tukivijua maumivu yake yanaumiza sana.
Majuto mjukuu, ukimchunguza sana kuku humli
 
Back
Top Bottom