Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Oa uclaim mke hujaoa so mke wa wote hata akiolewa ni mke wako so you have a right to complain to the world posa hata ima anaweza toa .
Maisha ya sasa ni kudhubutu umeelewa sio upuuzi upuuzi unaumiza watu hapa akili zao wakuupe ushauri hewa.
Ushimen na Mshana Jr na wengine wameoa kiuhalali wamefuata process wakilalamika wanahaki sio wewe
Sidhani kama una akili timamu mzee.
Wapi nmesema nimetoa posa? 🤔 Mimi mahari nilishatoa tena yote kabisa....bado ndoa tu.
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
What are you waiting for !?

Duniani ya Sasa ukitaka Uishi Kwa mashaka, ukose amani na uishi kama upo jela basi thubutuu kuoa [emoji38][emoji38]
 
UPDATE.

👉 NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA 🤔
 
UPDATE.

[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Dah ila usiache kumuhudumia hadi atakapo jifungua ujithibitishe kama mtoto ni wako au wa Imma inaonyesha hao walikuwa bado Wana pasha kiporo!, je huyo Imma kwa Sasa yupo wapi!? Pole Sana mkuu
 
unamoyo wakuendelea kuishi na kuvumilia likitokea jambo km hilo ? muache mkuu bila kumdhuru tafuta mwengine
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Mle tigo iyo adhabu itamfaa sana
 
Hii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za kimapenzi, mimi kipindi niko zangu Morogoro kwenye mihangaiko jamaa zangu Mwanza walinicheki hewani, wakanambia bro muenendo anaonesha shemeji yetu hauridhishi na unawapa mashaka, nikawaambia elezeni yote mliyoyaona.
Na mimi machale yakaanza kunicheza huwa kila nikichati nae usiku ikifika saa tatu anajifanya amechoka anataka kulala kumbe ndio ulikuwa muda wa kuonana na hawala yake, baadae ukimpigia simu kuanzia saa nne na kuendelea huwa hapatikani hewani, asubuhi ukimuuliza anakwambia simu iliishiwa chaji.
Basi bhana siku moja hawala yake alimfata ili waende klabu usiku, kumbe yule bodaboda aliyewabeba ananifahamu vema na ana namba yangu ya simu, alipowashusha tu maeneo ya Villa Park pale kirumba jamaa akanicheki hewani na kunieleza ABC, palepale nilimpigia wife simu hakupokea kisha akawa amezima simu, kmmmk nilimuandikia sms za kufahamu kila kitu asubuhi alipowasha simu akakutana nazo akajidai kunipigia sikupokea simu yake. Huwa sipendi ufala ktk mahusiano yule maku nilimuacha kabla hata ya kufika Mwanza, wanaume lazima tuwe na maamuzi magumu kmmmk usiogope kuumia moyo kwani moyo hautouma milele.
Mimi ushauri wangu jamaa anatakiwa apige chini huyo mbwa akiendelea kuishi nae atakufa mapema mana tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili. Nasema piga chiniiiiiiii mbwa huyo.
Mwamba unasila umesema kwa jaziba sana pole
 
umesound deep kichizi pole mwamba
 
Huu ndo uanaume sasa...

Na kwa hasira hizi bila shaka ulimkuta ameshaondoka maana ungeweza kuua aisee
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Piga makofi
 
Achana na huyo mwanamke sio mwaminifu na hata ukimsamehe kuwa na uhakika kwamba huyo msela ataendelea kula papuchi kimya kimya.
 
Wakati tulio nje tunatamani kuingia, waliondani wanachezea bahati zao... Haya maisha haya!
Mkuu bado tu hujapata? Lile tangazo lako limeleta mafanikio? Nikivyosoma nikaonakumve hata sie 40+ bado tuna nafasi [emoji1787][emoji1787]
 
Fanya subra muda utaamua khatma ya ndoa,ukithibitisha beyond doubt kwamba ni mzinzi basi mtaliki, maana kosa la kuzini ndani ya ndoa halisameheki pale ushahidi unapopatikana
 
[emoji848] Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.
Chukua maamuzi magumu huyo siyo wako huenda hata hiyo mimba ni ya ima mwanamke akianza uchepukaji ni hatari na Huwa hawaachi hawa viumbe wana mioyo migumu.
 
Unless kama ulimuoa akiwa na bikra zake mbili, ila hawa wanawake waliokula mileage kuna namna ya kukaa nao. Kama haja cheat wakati mkiwa kwenye ndoa tullia tu. Pengine huyo boya anasukumwa na nyege zake kutongoza mke wako na penzi hajapewa baada ya ndoa. Usifanye maamuzi ukiwa na hasira, endelea ku uncover information mpaka mwisho.
Hajapewa? Na ufundi wa kitandani wa mke wa jamaa kaujuaje?
 
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo

Kama huwa unachepuka ndo umeshamuambukiza na yeye hivyo. Acha kumuonea bure mtoto wa watu. Nani alikudanganya kwamba kuchepuka kuna matokeo mema?. Kwa kifupi mnafanana tabia,endeleeni kuruka pamoja.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom