Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Hizi ndoa jamani dah
Pole mwana..
Kwa sasa tulia usichukue maamuzi.

Binafsi sinario kama hizo huwa naamua kukaa kimya baada ya kumweleza ukweli kisha najiandaa na pia najipanga kumuacha.
Kumbuka kumuacha mwanamke unayeishi naye sio jambo jepesi
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hapo huna cha kupoteza mkuu,kama ungekuwa umeshajenga name familia ningekufundisha kitu,Ila kwa kuwa bado mkimbie haraka
 
Back
Top Bottom