Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Kwanza una kesi. Matamko yako yote yalpuuzwa na mahakama. Ni kama dua la kuku. Lissu bado yupo ndani. Hivyo baki tu "jela" kuepusha kutudnganya zaidi
Wanajua kuwa baba mwenye nyumba akitekwa familia nzima safari za chooni zitapungua sana.