Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 Oct 18, 2025 #21 Kwanza una kesi. Matamko yako yote yalpuuzwa na mahakama. Ni kama dua la kuku. Lissu bado yupo ndani. Hivyo baki tu "jela" kuepusha kutudnganya zaidi
Kwanza una kesi. Matamko yako yote yalpuuzwa na mahakama. Ni kama dua la kuku. Lissu bado yupo ndani. Hivyo baki tu "jela" kuepusha kutudnganya zaidi
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Oct 18, 2025 #22 Wanajua kuwa baba mwenye nyumba akitekwa familia nzima safari za chooni zitapungua sana.
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Oct 19, 2025 Thread starter #23 imhotep said: Wanajua kuwa baba mwenye nyumba akitekwa familia nzima safari za chooni zitapungua sana. Click to expand... Hahahaha! Wamesema hawaoni faida yoyote kwenye familia kwa mimi kujiingiza huko. Na nikiangalia kwa haraka haraka hiyo faida haipo. Wamenipa mifano mingi sana
imhotep said: Wanajua kuwa baba mwenye nyumba akitekwa familia nzima safari za chooni zitapungua sana. Click to expand... Hahahaha! Wamesema hawaoni faida yoyote kwenye familia kwa mimi kujiingiza huko. Na nikiangalia kwa haraka haraka hiyo faida haipo. Wamenipa mifano mingi sana
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Oct 19, 2025 Thread starter #24 Raia Fulani said: Kwanza una kesi. Matamko yako yote yalpuuzwa na mahakama. Ni kama dua la kuku. Lissu bado yupo ndani. Hivyo baki tu "jela" kuepusha kutudnganya zaidi Click to expand... Kesi ya nini?
Raia Fulani said: Kwanza una kesi. Matamko yako yote yalpuuzwa na mahakama. Ni kama dua la kuku. Lissu bado yupo ndani. Hivyo baki tu "jela" kuepusha kutudnganya zaidi Click to expand... Kesi ya nini?