Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Joined
Oct 19, 2023
Posts
74
Reaction score
73
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
 
mkeo inabidi ukae nae chini umhoji kwanini alipiga hizo picha?
Lengo ni nini? Anazipeleka wapi?
Asipokupa majibu ya msingi usimpige wala kumfukuza ila mnyang'anye iyo smartphone alaf mpe kiswaswadu
 
Back
Top Bottom